Chief Kabikula JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 7,567 Reaction score 9,037 Sep 7, 2020 #41 Anyway sio Bawacha tu hata Bavicha wajipange , viongozi wa nchi za kiafrika huwa ni wabishi sana kuachia madaraka kwa kuwa maisha yao mazuri yapo hapo huwa Mpaka walazimishwe na circumstances.
Anyway sio Bawacha tu hata Bavicha wajipange , viongozi wa nchi za kiafrika huwa ni wabishi sana kuachia madaraka kwa kuwa maisha yao mazuri yapo hapo huwa Mpaka walazimishwe na circumstances.
Mzee Wa Republican JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 1,666 Reaction score 847 Sep 7, 2020 #42 RockCarnegie said: msaidieni Tundu Lissu sasa mapema iwezekanvyo, msisubiri dakika za majeruhi, jeshi kubwa muanze sasa. Click to expand... Hii ni kweli kabisa. BAWACHA ikiingia kazini ikapambana na UWT vilivyo ccm itatoka mapema kabisa
RockCarnegie said: msaidieni Tundu Lissu sasa mapema iwezekanvyo, msisubiri dakika za majeruhi, jeshi kubwa muanze sasa. Click to expand... Hii ni kweli kabisa. BAWACHA ikiingia kazini ikapambana na UWT vilivyo ccm itatoka mapema kabisa
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Sep 7, 2020 #43 voicer said: Bawacha sio taasisi bali kijiwe cha kina mama wakiongozwa na halima. A.K.A bi Kidude. Kawe maji yako shingoni, je akiondoka nani wa kuokoa jahazi Click to expand... Vipi bi kiroboto hali yake huko mbeya?
voicer said: Bawacha sio taasisi bali kijiwe cha kina mama wakiongozwa na halima. A.K.A bi Kidude. Kawe maji yako shingoni, je akiondoka nani wa kuokoa jahazi Click to expand... Vipi bi kiroboto hali yake huko mbeya?