BAWACHA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma

BAWACHA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za Kanda ya Kati Jijini Dodoma kesho Tarehe 21/4/2021, kuanzia saa 5 kamili asubuhi .

Wote Mnakaribishwa .

Muhimu : Zingatia mwongozo wa WHO kuhusu janga la corona

=========
 
Bawacha ndio hao maarufu kama covid-19?
Bila shaka wanakuja kuwaambia kuwa wamepata chanjo ya Astrazeneca.
 
Hatuwezi kuwa na utawala wa kambale. Wamuache Mh Rais SSH ahutubie Bunge tarehe 22 ndio waruhusuwe kuongea. Labda kama wameamua kujitoa Bungeni not othewise.
 
Taarifa inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za Kanda ya Kati Jijini Dodoma kesho Tarehe 21/4/2021, kuanzia saa 5 kamili asubuhi .

Wote Mnakaribishwa .
Mnatukaribisha Covid-19 Imeisha, mnakibali cha kufanya mikusanyiko? wasaka tonge wanawahi upepo kisiasa watembee nao fanyen hima
 
Taarifa inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za Kanda ya Kati Jijini Dodoma kesho Tarehe 21/4/2021, kuanzia saa 5 kamili asubuhi .

Wote Mnakaribishwa .

Kama pesa za kufanya mkutano wao tu wa uchaguzi wameshindwa kupata, wanataka kutuambia nn? Watuache kwanza wapambane na hali zao
 
Jambo jema, Mama apate ziada live, japo sijui ni Bawacha ipi ya Mdee ama ipo mpya?
 
Back
Top Bottom