Chadema sio watu wazuri. Wangesikiliza rufaa na kuwatimulia mbali, wakina Mdee wangeenda Mahakamani ambapo Mahakama wangeweka zuio la amri kutekelezwa na hivyo kuwaruhusu kuendelea Bungeni. Wangeenda Mahakamani kabla ya rufaa yao kusikilizwa wangeweza kuambiwa wasubiri isikilizwe na status quo ya kabla ya kabla ya kuapishwe ingebakia. Na wangeonyesha kadi zao zote Mahakamani na hivyo kuirahisishia Chadema kufikia uamuzi usio pingika Mahakamani.
Mawazo yangu tu. Inawezekana kabisa ni pumba tupu.
Amandla...