Punda wa Dobi
JF-Expert Member
- Jul 4, 2013
- 591
- 237
Wajiandae kuchakazwaBawacha wamepanga kwenda bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
Bawacha wamesema safari yao ni ya amani.
Source: ITV habari
Kila zama na kitabu chake!Wajiandae kuchakazwa
Wanawake wanachukiana sana[emoji23][emoji23][emoji2956]Kila zama na kitabu chake!
Huyu Husna ni balaa lazima atalitekelez atalifanya atatekelezaBawacha wamepanga kwenda bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
Bawacha wamesema safari yao ni ya amani.
Source: ITV habari
Husna huyo! 🙂Bawacha wamepanga kwenda bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
Bawacha wamesema safari yao ni ya amani.
Source: ITV habari
Hawa BAWACHA, njaa itawaua! Watafute wanaume wa kuwaoa wawasitiri na dhiki ndogo ndogo waache kutia aibu.Bawacha wamepanga kwenda bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
Bawacha wamesema safari yao ni ya amani.
Source: ITV habari
Teh tehHawa BAWACHA njaa itawaua. Watafute wanaume wa kuwaoa wawasitiri na dhiki ndogo ndogo waache kutia aibu.
Hata kina Mdee wakiondolewa kwenye hizo nafasi CHADEMA haitokuwa na rught ya kupeleka viti maalum wengine kwa kuwa wataonekana kuwa gawakupeleka nominations within a reasonable time kitu kinachoadhiria kuwa wame forfeit their rights.
Bwashee mbona kama haueleweki? Yaani Bawacha wakadai nafasi 19 wakati uchaguzi hautambuliki ndio maana CDM hawakutaka kupeleka viti maalum.Bawacha wamepanga kwenda bungeni Dodoma tarehe 10/05/2021 kudai nafasi zao 19 za ubunge zinazokaliwa kwa mabavu na akina Halima Mdee na wenzake .
Mwenyekiti wa Bawacha wilaya ya Chato bi Husna amesema maandamano yao jijini Dodoma kuelekea bungeni hayatakuwa na kikomo hadi suluhisho lipatikane.
Bawacha wamesema safari yao ni ya amani.
Source: ITV habari
Ni ukumbi wa kuvunja katiba.Wasilete uhuni. Bunge si uwanja wa wahuni.
MurotoHahahaaaa......nani wa kuwapiga mitama!
Hahahaaaa......!Mmawia atakuwepo?
Anasema siku hizi anafanyakazi Nairobi Westland!! Hahahahaha...!!Mmawia atakuwepo?
Hivi huyu kamanda wa Dodoma bado yupo kama jibu ni ndiyo nawashauri waache kuandamana watapigwa mpaka wachakae huyu jamaa hana utani.Muroto
Uchaguzi uleule, Bunge lilelile, speaker yuleyule, mbunge wa chadema yuleyule na naibu speaker ni yuleyuleMakamu wa Rais mwingine!