BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA


Tangu chadema imeanza kushiriki uchaguzi je ni lini uchaguzi haukuwa na mabavu?

Na mbona mlikuwa hamsusi?
 
siyo kweli bunge lina jitegemea na taasisi ya rais inajitegemea huwezi rais ukaanza kumpangia bunge mambo ya kufanya utakuwa umenajisi bunge muacheni mama msimvunjishe sheria
na yule kichaa wenu meko alikuwa analifanyeje bunge la ....NDUGAYe....
 
That's correct by 100%

Hebu tujiulize hivi si huyu huyu Spika Ndugai aliyetekeleza kuwafukuza ubunge wale wabunge wa viti maalum wa CUF, mara tu alipopata habari kuwa wamevuliwa uanachama na CUF ya Profesa Lipumba??

Sasa ni kitu gani kinampa kigugumizi kutekeleza hivyo kwa suala la akina Halima Mdee, wakati mazingira yanafanana??

Au ndiyo tuseme kuwa sheria zetu zina "double standards" zikifanywa na CUF ya Profesa Lipumba, linatekelezwa na likifanywa na Chadema ya Mbowe, halitekelezeki??
 
Rais ni mwana ccm kweli kweli usiwe na shaka na hilo,hakuna urais nje ya ccm
 
Mama alishasema hajaja kutengua mambo ya hayati Magufuli,bali kuyatimiza, yeye leo anaenda kuhutubia bunge,haendi kuchunguza uhalali wa wabunge waliopo ndani ya bunge.
 
Kwa nini Naibu spika anawakumbatia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…