Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Sio sheria ni kanuni.Kuna wanaodhani kuwa sheria zimekufa na Magufulim aliyeongoza kwa kuamini kuwa sheria ni msumeno! Majuzi nimesikia serikali ikisema kuwa BASAT isitekeleze sheria fulani iliyotungwa na bunge eti kwa sababu siyo sheria nzuri. Serikali inasimamia sheria haitungi sheria, kama ni sheria mbaya siyo kazi ya serikali kutoisimamia, ni kazi ya bunge kuifuta. Sasa huu mwanya wa kuona kuwa kuna sheria ambazo serikali utazikaidi ndio hata mimi nitakaotumia kwenda kuweka genge langu la kuuza miwa pale kwenye lango la Ikulu kama mwekezaji
Akili za Mataga zipo kwenye matakoHow comes unataka BAWACHA wafuate sheria kwa mtu asiefuata hizo sheria?
Jaribu kupunguza papara hasa unapojibu comments! Aside ni nini? Uwe una proofreadAside na uzalendo ni Ndungai
Sawa tunawasubiria wajePolisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada?
Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata.
Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress.
Hawa watu hawana uzalendo.
Hawa ni vilaza au vipi?
Lazima tuwe na nidhamu Kama Taifa.
Tulia wewe mfuasi wa mwendazake usitupigie mikelele hapaJaribu kupunguza papara hasa unapojibu comments! Aside ni nini? Uwe una proofread
maana watavunjwa wakikaidi.ni upendo tu wala si kingine[emoji16][emoji16]How comes unataka BAWACHA wafuate sheria kwa mtu asiefuata hizo sheria?
Za nyumbu zipo ndani ya matako.Akili za Mataga zipo kwenye matako
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada?
Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata.
Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress.
Hawa watu hawana uzalendo.
Hawa ni vilaza au vipi?
Lazima tuwe na nidhamu Kama Taifa.