BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

Chanzo Cha yote haya Ni viongozi wetu kutofuata Sheria na katiba yetu.Kwangu ndugai Ni msaliti wa taifa letu.Ukivunja katiba unakuwa msaliti wa nchi yetu...
 
Hawana muda watakua walemavu wa kudumu sasa hivi, jamaa walivyo na hasira na mishahara hawajapandishwa we ngoja wajifanye kuingia barabarani ndio watajua
Pole ndugu,
Nimepiga magoti ninamwomba Mungu ili aepushe kurithisha wanao na vizazi vyao uoga huo. Akina Nyerere, Kenyata wangekuwa wana uoga kama wewe, tungekuwa bado chini ukoloni.
 
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada?

Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata.

Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress.

Hawa watu hawana uzalendo.
Hawa ni vilaza au vipi?

Lazima tuwe na nidhamu Kama Taifa.
Kwani Moroto karuhusu hawa wahuni wafike jijini kwake?
 
Dodoma hawatafika maana sasa hivi tu watakuwa wameshaanza kurushwarushwa kichura huko huko Geita wakiwa wamevalishwa bukta.
 
Ina maana maandamano ya amani si rukhsa kwa sheria za tz?
Ruksa kwa kufuata utaratibu sio kama uhuru wa ndezi kuvamia mashamba ya mahindi kisa mi wanyama wanaostahili kula.Uhuru bila kufuata sheria ni fujo mkuu.
 
Wako sahihi,waandamane tu Hadi mjengoni,maana mwenyewe alisema kabisa democrasia ya kuongea na kutoa habari haikuwepo.
 
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada?

Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata.

Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress.

Hawa watu hawana uzalendo.
Hawa ni vilaza au vipi?

Lazima tuwe na nidhamu Kama Taifa.

Wanatetea katiba mkuu ,haiwezekani Mgogo mwenye file mirembe awakumbatie covid19 bungeni.
 
Polisi ya Tanzania ni ile ile. Jambo gani litawafika hawa wadada?

Hawa wadada lazima wafuate Sheria za Tanzania kama wengine wote tunavyozifuata.

Wanataka kulivamia Bunge kama wafuasi wa Trump walivyoivamia Congress.

Hawa watu hawana uzalendo.
Hawa ni vilaza au vipi?

Lazima tuwe na nidhamu Kama Taifa.
BAWACHA is an indomitable and pressure force. It's playing her political role effectively. They are a brave people. Looking at satan in his eyes and shouting at him that: "You are Satan".
 
ndio maana Chadema imefariki maana Mbowe yeye mwenyewee kilaza amezungukwa na vilaza na mashabiki zake vilaza
Baba yenu alijaribu san kwa juhudi zake zote kuiua, mwishowe kafa yeye chadema bado imara, [emoji23] [emoji23]. Pole na kuondokewa na mshua wako dogo.
 
Kwa nini wale waliompatia rushwa ya ngono muathilika wa HIV bwana speaker wasiondoke wenyewe bungeni
 
Back
Top Bottom