Kuna wanaodhani kuwa sheria zimekufa na Magufulim aliyeongoza kwa kuamini kuwa sheria ni msumeno! Majuzi nimesikia serikali ikisema kuwa BASAT isitekeleze sheria fulani iliyotungwa na bunge eti kwa sababu siyo sheria nzuri. Serikali inasimamia sheria haitungi sheria, kama ni sheria mbaya siyo kazi ya serikali kutoisimamia, ni kazi ya bunge kuifuta. Sasa huu mwanya wa kuona kuwa kuna sheria ambazo serikali utazikaidi ndio hata mimi nitakaotumia kwenda kuweka genge langu la kuuza miwa pale kwenye lango la Ikulu kama mwekezaji