BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

Sio sheria ni kanuni
 

Na ww umekubaliana kuwa bunge ndio linalotunga sheria? Sheria zote hutungwa na serikali, tena hasa hasa rais na genge lake, kisha hupelekwa kwenye hilo bunge kibogoyo kutakatishwa. Nitajie mbunge yoyote aliyewahi kwenda mkononi na pendekezo la chochote na kuwa sheria. Sheria nyingi zilizotungwa enzi ya Magufuli hasa zile za hati ya dharura, zilikuwa kwa ajili ya kuaccomodate tabia na utashi wake binafsi. Halafu huko bungeni zilipitishwa kiini macho ili kupata uhalali wa mchakato wa kisheria, lakini nyingi ni sheria za kishenzi kama walizokuwa wanapitisha wakoloni, na wazungu huko Afrika Kusini.
 
Vilaza ni ndugu zako,kulikuwa na ulazima gani wa kuwaita vilaza?
 
Pole sana MJANE utazoea zoea maisha bila mume.
 
Hawana muda watakua walemavu wa kudumu sasa hivi, jamaa walivyo na hasira na mishahara hawajapandishwa we ngoja wajifanye kuingia barabarani ndio watajua
 
Hiyo miwa utamuuzia nani, labda yule mnunuzi wa mahindi na jogoo angekuwepo hapo ikulu angekuungisha!
 
Polisi Ni ileile. Lkn rais Ni mwingine
 
Hapa nitaungana na POLISI. Nitafurahi zaidi nikiona hao wamama wanavunjwa miguu kwa upumbavu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…