BAWACHA wapo Dodoma kupima kina cha maji

Alafu wakishavunjwa ukafurahi utakua umeongeza nini kwenye maisha yako?.Jinga wewe.
Hahahahahahah aiseeeeee TANZANIA PEKEE AMBAPO UNAWEZA CHUKIZWA NA MTU HATA HUJAWAHI WALA HUTOWAHI KUMJUA. HAPA NI KUCHAT TU
 
Mbona kina cha maji ni cha kawaida tu. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee
 
M
How comes unataka BAWACHA wafuate sheria kwa mtu asiefuata hizo sheria?
Wanatafuta mtu wa kuwatia mimba maana mr DJ siku hizi hana mapesa ya kugawa na kuwaita baby sasa wameamua kutafuta wanaume pale bungeni wenyewe,

Mtasubili waandamane kumbe wanajazwa mimba na wabunge huko dodoma maana wamepa miss mjengoni.
 
Acha wazame ndio watajua mama na mwendazake ni kitu kimoja
 
Kama tunaihubiri demokrasia basi tukubali na matendo yake
 
Hakukua na uchaguzi bali uzugaji ili muendelee kupewa misaada na mabeberu πŸ˜‚
 
Wametokea Moshi au ni wale wa Geita?
 
Nidhamu ya uoga ni utumwa.
Kwani katiba yetu inasema je kuhusu maandamano?
Tuanzie hapo kwanza

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Nini wafanye kama haufaki hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…