BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

Ni vyao

Wachome…. Walishaookea
 
Tuliza makasiriko. na Mipasho.

😭



Ndio, sio tu naona, lakini ni uhalisia.

CHADEMA wanatengeneza mazingira magumu sana ya kisiasa. Yaani sio kwa CCM tu, bali nchini.
Call spade a spade juha namuita juha , siyo mipasho, upuuzi wote unaofanywa na serikali ya CCM awamu hii na awamu zilizopita unaona sawa? Hii ni case ya Mirembe.

Wanaoteka wanaoua wako sawa? Na Kabendera kachafukwa huko, utasema alitekwa na CHADEMA. Pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…