BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

Toka mwaka jana wanavivaa sasa vimechakaa ndio wanaamua kuvichoma moto? Ama kweli nyumbu ni nyumbu tu!
 
Ndivyo inavyokuwa duniani kote kilichonunuliwa kwa Kodi za wananchi ni lazima kiheshimiwe

Bawacha acheni Ujinga

Mlale unono 🐼
 
Yule kijana wa Mbeya alichoma picha ya Samia aliyoichora kwa mkono wake, lkn akaadhibiwa na mahakama.

Namsubiri kuona hili la bawacha kuchoma kanga alizonunua Samia.
 
Hakuna haja ya kuvichoma moto...

Yabebeni na mrudishieni au mkayatupe getini magogoni...

Zawadi za kinafiki na zilizokaa kwa mtindo wa hongo hongo, hazifai. Mrudishieni mwenyewe, kataeni laana hiyo...
Ubebe upeleke getini watakufungulia kesi ya uhujumu uchumi
 
Hii inadhihirisha ninayoyasema.

CHADEMA si chama cha Siasa, bali ni Genge la wanaharakati.

Wakumbuke tu hii ni mbegu gani za upinzani wanazopanda. Mazingira ya hovyo ya siasa.

Nasema hivyo kwasababu ipo siku, 2040's huko pakatokea uwezekano wa Chama ama Vyama mbadala kushika Dola.

Patakalika?

Haya🔥

Wacha wajenge tu haya Mazingira. Watakuja kujuta.

=========
Hebu fikiria tu kwa sekunde, watu wengine waanze kuchoma moto picha, vitenge , kanga zenye picha za Wanachadema?
Kutakalika?

Suala hili linahatarisha Usalama wa Taifa ma Raia wake.
Ukipona ujuha utaelewa kuwa wanaojenga mazingira mabaya ya siasa kati ya CHADEMA na CCM ni nani. Kutekwa na kuuliwa kufunguliwa kesi za uongo kama ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo au kiungo cha maisha, kuzuiliwa kufanya siasa, kuporwa na kufungiwa akaunti, wizi wa kura nk.

Bado unaona CHADEMA ndio wakosa?
 
Ndivyo inavyokuwa duniani kote kilichonunuliwa kwa Kodi za wananchi ni lazima kiheshimiwe

Bawacha acheni Ujinga

Mlale unono 🐼
Hivyo vitenge vya mnafiki aliyesema mnafanya drama kujiteka, na kifo cha mzee Ali Kibao akasema ni kama vifo vingine vitenge vyake havifai hata kupigia deki. VICHOMWE TU!
 
UmeShaambiwa ni BAWACHA Sasa akili hizo watatoa wapi?!!
BAWACHA ni jamii ya nyumbu awafugao mbowe Sasa km ni nyumbu unafikiri watakuwa na chembe yoyote ya akili?!!!

Sawa, enhe, hilo litasaidia nn?!!! Samia ana shida na hizo khanga?!!! Kama wamemuimbia nyimbo ya kumkatili kabisa kuwa eti ni muuaji mkubwa kuwahi kutokea Tanzania hii na Bado akawapuuza, atadhulika nini' na huo ujinga wa kuchoma hivyo vitambaa?!!!!
Tuliza mshono we subiri miezi tisa ukamtoe huyo anaekusababisha uteme Teme mate hovyo kama Kobra koko
 
Tuliza mshono we subiri miezi tisa ukamtoe huyo anaekusababisha uteme Teme mate hovyo kama Kobra koko
Nini' zaidi BAWACHA mnaweza kusema zaidi ya ujinga ujinga kama huu?!!!!! Mtapigwa double penetration mbele na nyuma, shenzzzzzy!
 
UmeShaambiwa ni BAWACHA Sasa akili hizo watatoa wapi?!!
BAWACHA ni jamii ya nyumbu awafugao mbowe Sasa km ni nyumbu unafikiri watakuwa na chembe yoyote ya akili?!!!

Sawa, enhe, hilo litasaidia nn?!!! Samia ana shida na hizo khanga?!!! Kama wamemuimbia nyimbo ya kumkatili kabisa kuwa eti ni muuaji mkubwa kuwahi kutokea Tanzania hii na Bado akawapuuza, atadhulika nini' na huo ujinga wa kuchoma hivyo vitambaa?!!!!
Amewapuuza wakati kajitetea kuwa hajawahi kuua, na kupitia Chatanda wametangaza kula sahani moja na wapinzani?
 
Ukipona ujuha utaelewa
Tuliza makasiriko. na Mipasho.
kuwa wanaojenga mazingira mabaya ya siasa kati ya CHADEMA na CCM ni nani. Kutekwa na kuuliwa kufunguliwa kesi za uongo kama ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo au kiungo cha maisha, kuzuiliwa kufanya siasa, kuporwa na kufungiwa akaunti, wizi wa kura nk.
😭
Bado unaona CHADEMA ndio wakosa?

Ndio, sio tu naona, lakini ni uhalisia.

CHADEMA wanatengeneza mazingira magumu sana ya kisiasa. Yaani sio kwa CCM tu, bali nchini.
 
UmeShaambiwa ni BAWACHA Sasa akili hizo watatoa wapi?!!
BAWACHA ni jamii ya nyumbu awafugao mbowe Sasa km ni nyumbu unafikiri watakuwa na chembe yoyote ya akili?!!!

Sawa, enhe, hilo litasaidia nn?!!! Samia ana shida na hizo khanga?!!! Kama wamemuimbia nyimbo ya kumkatili kabisa kuwa eti ni muuaji mkubwa kuwahi kutokea Tanzania hii na Bado akawapuuza, atadhulika nini' na huo ujinga wa kuchoma hivyo vitambaa?!!!!
Halafu wengi ni vimada wa Mbowe Nkuruzinza
 
Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini.

BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya Mzee Ali Kibao na wanachama wengine wa CHADEMA waliotekwa, wameamua kuchoma moto vitenge walivyopewa na Rais Samia kwenye tukio la kuadhimisha siku ya mwanamkd duniani mwaka jana.

"Leo tumewaita hapa ili kuonesha hasira zetu dhidi ya Rais Samia kwa kutokuchukua hatua dhidi ya watekaji na wauaji, BAWACHA kanda ya Pwani leo tutaenda kuchoma vile vitenge alivyotupa Samia kama zawadi siku ya wanawake duniani mwaka jana"

Source: Jambo TV
Kuna yule aliyepotwezwa kwa kuchoma picha.

Ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom