Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu gani?Mungu Ibariki Bawacha
Mambo yao waachieni wenyewe...
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimuHii inadhihirisha ninayoyasema.
CHADEMA si chama cha Siasa, bali ni Genge la wanaharakati.
Wakumbuke tu hii ni mbegu gani za upinzani wanazopanda. Mazingira ya hovyo ya siasa.
Nasema hivyo kwasababu ipo siku, 2040's huko pakatokea uwezekano wa Chama ama Vyama mbadala kushika Dola.
Patakalika?
Haya🔥
Wacha wajenge tu haya Mazingira. Watakuja kujuta.
=========
Hebu fikiria tu kwa sekunde, watu wengine waanze kuchoma moto picha, vitenge , kanga zenye picha za Wanachadema?
Kutakalika?
Suala hili linahatarisha Usalama wa Taifa ma Raia wake.
Mbowe na Mnyika vile vitenge vya zawadi walishona Mashati 😀Leo tumewaita hapa ili kuonesha hasira zetu dhidi ya Rais Samia kwa kutokuchukua hatua dhidi ya watekaji na wauaji, BAWACHA kanda ya Pwani leo tutaenda kuchoma vile vitenge alivyotupa Samia kama zawadi siku ya wanawake duniani mwaka jana".. Kimeumana..!!!
Mradi wake binafsi?Yaani huyu maza ana spidi hatari, magari makubwa mengii ya usafirishaji, tankers na sasa anachimba madini sengerema
HAPA UMENENA VEMA. They embraced the principle of " The enemy of Your Enemy is your Friend !" But they were not Friends at all, but only brought together by what we call" the highest level of hypocrisy". Sisi tuliofiwa na mpendwa wetu, tulikuwa tunajua this Friendship of convenience will not get far. Ngoja tukae pembeni tukiwacehekelea kwa huu mnyukano wao, maana na sisi wakati tunaomboleza wao pamoja walikuwa wakisheherekea hadharani na nyuma ya pazia. Acha walibebe wenyewe.Waendelee kuvivaaa kwani kile kipindi walikuwa wanajidai kumuthamini mama na kumtukana magufuri.Kwani aheri magufuri kwani alikuwa anakunguta hata wanaccm wenzake kuliko mama anakumbatia hata majizi na ameweka mfumo wa jamaa zake kuajiliwa ofisi zake binafsi na kyingia madili ya ufisadi
AmenMungu Ibariki Bawacha
Doh!Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini.
BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya Mzee Ali Kibao na wanachama wengine wa CHADEMA waliotekwa, wameamua kuchoma moto vitenge walivyopewa na Rais Samia kwenye tukio la kuadhimisha siku ya mwanamkd duniani mwaka jana.
"Leo tumewaita hapa ili kuonesha hasira zetu dhidi ya Rais Samia kwa kutokuchukua hatua dhidi ya watekaji na wauaji, BAWACHA kanda ya Pwani leo tutaenda kuchoma vile vitenge alivyotupa Samia kama zawadi siku ya wanawake duniani mwaka jana"
Source: Jambo TV
Kumbe walivitunza....🤣🤣🤣🤣
Zawadi ni Heshima......kuchoma moto zawadi ni sawa na kujizika/kuzika baraka.
Anyway is up to them...
NaamMradi wake binafsi?
Si wamesema watavuchoma moto...ndio maana nauliza walikuwa hawajavivaa ? kwamba walivitunza tu ofisini au..?..zawadi toka kwa muuaji uitunze kwa faida gani?