BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana

Chadeee wana hekahekaaa jamani!
Ni suala la

Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini.

BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya Mzee Ali Kibao na wanachama wengine wa CHADEMA waliotekwa, wameamua kuchoma moto vitenge walivyopewa na Rais Samia kwenye tukio la kuadhimisha siku ya mwanamkd duniani mwaka jana.

"Leo tumewaita hapa ili kuonesha hasira zetu dhidi ya Rais Samia kwa kutokuchukua hatua dhidi ya watekaji na wauaji, BAWACHA kanda ya Pwani leo tutaenda kuchoma vile vitenge alivyotupa Samia kama zawadi siku ya wanawake duniani mwaka jana"

Source: Jambo TV
Huu ni utoto na upuuzi kbs.
 
UmeShaambiwa ni BAWACHA Sasa akili hizo watatoa wapi?!!
BAWACHA ni jamii ya nyumbu awafugao mbowe Sasa km ni nyumbu unafikiri watakuwa na chembe yoyote ya akili?!!!

Sawa, enhe, hilo litasaidia nn?!!! Samia ana shida na hizo khanga?!!! Kama wamemuimbia nyimbo ya kumkatili kabisa kuwa eti ni muuaji mkubwa kuwahi kutokea Tanzania hii na Bado akawapuuza, atadhulika nini' na huo ujinga wa kuchoma hivyo vitambaa?!!!!
hawajitambui hao bawa la chawa mbowe kawatia mfukoni anawa P.DIDY kwa zamu mmoja baada ya mwingine
 
Hawa ndio wanataka wakabidhiwe nchi? Jinga kabisa
Ajabu Sana aisee yaani mwanzo wamepokea halafu leo eti wazichome baada ya kupokea na kuzitumia ndo wazichome wanafiki Sanaa .
Ni Bora nchi iongozwe hata kijeshi kuliko kuwapa Chadema ..
Sina hakika Kama Kuna mtu anaishabikia Chadema halafu kichwani asiwe na shida ya afya ya akili.
 
Kuchoma bidhaa tena ambayo bado haijatumika ni upuuzi kuliko hata kama mngezitumia tu. Nanyi mngezitoa tena kama zawadi kwa Wengine.Tatizo Mwanasiasa huwa unafikiria maslahi yako tu.
 
Kwenye siasa hakuna hiki unachofikiria. Upuuzi ni sehemu ya siasa..

Wewe unafikiri hata Tshirt za CCM, khanga na kapelo zile ambazo huzigawa kila ukikaribia uchaguzi au nyakati za chaguzi, unadhani ni kwa sababu wanawapenda hao watu...?

Je, unakumbuka wale wana-CCM waliomchangia Tundu Lissu 5M kule Mwanza kuunga mkono kampeni ya kumnunulia gari lake jipya baada ya lile kumiminiwa risasi 2017..?

Unafikiri walifanya vile kwa upendo na moyo safi....?

Yote hiyo ni mitego ya kisiasa ya kumlainisha mpinzani wako wananchi ili upate unachotaka na baada ya hapo huna time naye tena...

Kwa lugha rahisi kabisa, hizo ni Hongo. Ukigundua hilo, you have to do the needful kujiondoa kwenye laana hiyo...

CHADEMA wameamua kuziteketeza kwa moto. Ni sawa tu na hakuna kosa...
 
UmeShaambiwa ni BAWACHA Sasa akili hizo watatoa wapi?!!
BAWACHA ni jamii ya nyumbu awafugao mbowe Sasa km ni nyumbu unafikiri watakuwa na chembe yoyote ya akili?!!!

Sawa, enhe, hilo litasaidia nn?!!! Samia ana shida na hizo khanga?!!! Kama wamemuimbia nyimbo ya kumkatili kabisa kuwa eti ni muuaji mkubwa kuwahi kutokea Tanzania hii na Bado akawapuuza, atadhulika nini' na huo ujinga wa kuchoma hivyo vitambaa?!!!!
Kwa kuchoma hivyo vitambaa vya hovyo tayari walishavuka mbele yako ndugu nyumbu mwenzao 🤩🤩🤩🤩 waliotambua kuchoma wanajua kuwa wahitaji walivyo wengi havitawatosha labda wasaidiwe chembe yoyote ya akili ili wajikomboe.Kwa taarifa yako mjinga lao wamemzibua masikio yake chura kiziwi analalamika sijauwa mimi labda sisimizi!
 
Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini.

BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya Mzee Ali Kibao na wanachama wengine wa CHADEMA waliotekwa, wameamua kuchoma moto vitenge walivyopewa na Rais Samia kwenye tukio la kuadhimisha siku ya mwanamkd duniani mwaka jana.

"Leo tumewaita hapa ili kuonesha hasira zetu dhidi ya Rais Samia kwa kutokuchukua hatua dhidi ya watekaji na wauaji, BAWACHA kanda ya Pwani leo tutaenda kuchoma vile vitenge alivyotupa Samia kama zawadi siku ya wanawake duniani mwaka jana"

Source: Jambo TV
Wakichoma watavaa Nini?
 
Poor brain,poor stragetegy na utoto.Je Hilo ndio litafanya Samia awawajibishe hao mnaojisemesha?

Nilisikai Rais analalamika kwamba eti wanamuita mjuaji,si akamate hao wakatoe ushahidi? Kuwaacha wanaropoka tafsiri yake ni ukweli.
 
Kwa kuchoma hivyo vitambaa vya hovyo tayari walishavuka mbele yako ndugu nyumbu mwenzao 🤩🤩🤩🤩 waliotambua kuchoma wanajua kuwa wahitaji walivyo wengi havitawatosha labda wasaidiwe chembe yoyote ya akili ili wajikomboe.Kwa taarifa yako mjinga lao wamemzibua masikio yake chura kiziwi analalamika sijauwa mimi labda sisimizi!
Dah, chadema imekwama
 
Nimeangalia Press ya wamama wa CDM kusema kweli imepyaya sana Amina Chambo Mdee na group lake la Covid 19 mule kweli kuna Majembe haswa mimi ni washauri CDM wakae chini kwa maslai mapana ya chama Chao kiwarudishe wale Wamama, Ni kweli walipotoka na huwenda kunadharau pia walitoa lakini bado ni hazina kubwa ktk kujenga Taifa letu. Pia bado ni vijana wanamda mrefu sana wakufanya kazi.
Inawezekana kweli unacho sema ila kumbuka tuliwafahamu akina mdee Ester Butiku na wengine kupitia bunge huru kama uchaguzi wa mwakani utakuwa walau 20% huru basi tutapata wabunge wengi sana wa upinzani tena damu mpya na wanawake wakiwemo.
 
Back
Top Bottom