jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Wapige kiberiti.Mbowe na Mnyika vile vitenge vya zawadi walishona Mashati 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapige kiberiti.Mbowe na Mnyika vile vitenge vya zawadi walishona Mashati 😀
Chadeee wana hekahekaaa jamani!
Ni suala la
Huu ni utoto na upuuzi kbs.Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini.
BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya Mzee Ali Kibao na wanachama wengine wa CHADEMA waliotekwa, wameamua kuchoma moto vitenge walivyopewa na Rais Samia kwenye tukio la kuadhimisha siku ya mwanamkd duniani mwaka jana.
"Leo tumewaita hapa ili kuonesha hasira zetu dhidi ya Rais Samia kwa kutokuchukua hatua dhidi ya watekaji na wauaji, BAWACHA kanda ya Pwani leo tutaenda kuchoma vile vitenge alivyotupa Samia kama zawadi siku ya wanawake duniani mwaka jana"
Source: Jambo TV
Wasituchoshe bana!Mambo yao waachieni wenyewe...
Sengerema sehemu ganiYaani huyu maza ana spidi hatari, magari makubwa mengii ya usafirishaji, tankers na sasa anachimba madini sengerema
hawajitambui hao bawa la chawa mbowe kawatia mfukoni anawa P.DIDY kwa zamu mmoja baada ya mwingineUmeShaambiwa ni BAWACHA Sasa akili hizo watatoa wapi?!!
BAWACHA ni jamii ya nyumbu awafugao mbowe Sasa km ni nyumbu unafikiri watakuwa na chembe yoyote ya akili?!!!
Sawa, enhe, hilo litasaidia nn?!!! Samia ana shida na hizo khanga?!!! Kama wamemuimbia nyimbo ya kumkatili kabisa kuwa eti ni muuaji mkubwa kuwahi kutokea Tanzania hii na Bado akawapuuza, atadhulika nini' na huo ujinga wa kuchoma hivyo vitambaa?!!!!
Ajabu Sana aisee yaani mwanzo wamepokea halafu leo eti wazichome baada ya kupokea na kuzitumia ndo wazichome wanafiki Sanaa .Hawa ndio wanataka wakabidhiwe nchi? Jinga kabisa
DuhWasituchoshe bana!
Fisiemu mbeleeeee kwa mbeleeee 💚💚💚💚💪
Haa🤪Ubebe upeleke getini watakufungulia kesi ya uhujumu uchumi
Kwenye siasa hakuna hiki unachofikiria. Upuuzi ni sehemu ya siasa..Kuchoma bidhaa tena ambayo bado haijatumika ni upuuzi kuliko hata kama mngezitumia tu. Nanyi mngezitoa tena kama zawadi kwa Wengine.Tatizo Mwanasiasa huwa unafikiria maslahi yako tu.
Kwa kuchoma hivyo vitambaa vya hovyo tayari walishavuka mbele yako ndugu nyumbu mwenzao 🤩🤩🤩🤩 waliotambua kuchoma wanajua kuwa wahitaji walivyo wengi havitawatosha labda wasaidiwe chembe yoyote ya akili ili wajikomboe.Kwa taarifa yako mjinga lao wamemzibua masikio yake chura kiziwi analalamika sijauwa mimi labda sisimizi!UmeShaambiwa ni BAWACHA Sasa akili hizo watatoa wapi?!!
BAWACHA ni jamii ya nyumbu awafugao mbowe Sasa km ni nyumbu unafikiri watakuwa na chembe yoyote ya akili?!!!
Sawa, enhe, hilo litasaidia nn?!!! Samia ana shida na hizo khanga?!!! Kama wamemuimbia nyimbo ya kumkatili kabisa kuwa eti ni muuaji mkubwa kuwahi kutokea Tanzania hii na Bado akawapuuza, atadhulika nini' na huo ujinga wa kuchoma hivyo vitambaa?!!!!
Wakichoma watavaa Nini?Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini.
BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya Mzee Ali Kibao na wanachama wengine wa CHADEMA waliotekwa, wameamua kuchoma moto vitenge walivyopewa na Rais Samia kwenye tukio la kuadhimisha siku ya mwanamkd duniani mwaka jana.
"Leo tumewaita hapa ili kuonesha hasira zetu dhidi ya Rais Samia kwa kutokuchukua hatua dhidi ya watekaji na wauaji, BAWACHA kanda ya Pwani leo tutaenda kuchoma vile vitenge alivyotupa Samia kama zawadi siku ya wanawake duniani mwaka jana"
Source: Jambo TV
Poor brain,poor stragetegy na utoto.Je Hilo ndio litafanya Samia awawajibishe hao mnaojisemesha?Baraza La Wanawake CHADEMA maarufu kama BAWACHA imetoa tamko rasmi kufuatia matendo ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini.
BAWACHA wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari siku ya leo wametangaza kuwa kutokana na kitendo cha Rais Samia kutokuwawajibisha wote waliohusika na mauaji ya Mzee Ali Kibao na wanachama wengine wa CHADEMA waliotekwa, wameamua kuchoma moto vitenge walivyopewa na Rais Samia kwenye tukio la kuadhimisha siku ya mwanamkd duniani mwaka jana.
"Leo tumewaita hapa ili kuonesha hasira zetu dhidi ya Rais Samia kwa kutokuchukua hatua dhidi ya watekaji na wauaji, BAWACHA kanda ya Pwani leo tutaenda kuchoma vile vitenge alivyotupa Samia kama zawadi siku ya wanawake duniani mwaka jana"
Source: Jambo TV
Dah, chadema imekwamaKwa kuchoma hivyo vitambaa vya hovyo tayari walishavuka mbele yako ndugu nyumbu mwenzao 🤩🤩🤩🤩 waliotambua kuchoma wanajua kuwa wahitaji walivyo wengi havitawatosha labda wasaidiwe chembe yoyote ya akili ili wajikomboe.Kwa taarifa yako mjinga lao wamemzibua masikio yake chura kiziwi analalamika sijauwa mimi labda sisimizi!
Inawezekana kweli unacho sema ila kumbuka tuliwafahamu akina mdee Ester Butiku na wengine kupitia bunge huru kama uchaguzi wa mwakani utakuwa walau 20% huru basi tutapata wabunge wengi sana wa upinzani tena damu mpya na wanawake wakiwemo.Nimeangalia Press ya wamama wa CDM kusema kweli imepyaya sana Amina Chambo Mdee na group lake la Covid 19 mule kweli kuna Majembe haswa mimi ni washauri CDM wakae chini kwa maslai mapana ya chama Chao kiwarudishe wale Wamama, Ni kweli walipotoka na huwenda kunadharau pia walitoa lakini bado ni hazina kubwa ktk kujenga Taifa letu. Pia bado ni vijana wanamda mrefu sana wakufanya kazi.
Hiv yule dogo aliye choma picha ya rais ameisha patikana? Wasiwasi wangu tu.Safi sana
Labda WamemuuaHiv yule dogo aliye choma picha ya rais ameisha patikana? Wasiwasi wangu tu.