Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

Acha kukaa chooni muda mrefu hasa vyoo vya kukaa. Kwenye mlo wako mboga za majani zisikose. Tumia sabuni ya B29 kupaka sehemu ya uvimbe wa bawasiri kupunguza maumivu baada ya haja kubwa kisha jisafishe na maji utahisi maumivu kupungua kinyama kitarudi kwa ndani (KITAFAMPA).
Ipo dawa nyingine saga ALOVERA kwenye breda itoe miba kwanza kisha chuja weka nusu glass changanya na azam mango au azam fruit ijae glass kupunguza ukali kunywa one glass asubuhi fanya na jioni. Mind yu BAWASIRI ni ugonjwa unaosabibishwa na mtindo wa maisha. Na pia ni BACTERIAL INFECTION kwa iyo ALOEVERA itakusaidia kuondoa hao bacteria waliopo kwenye mfumo wa chakula. Kunywa maji ya kutosha kulingana na kazi zako na body size yako.

B29 ILE NYEUPE HUPUNGUZA MAUMIVU YA BAWASIRI.
B29 na sio MO29
 
Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
Huu upasuaji atafanyiwa mara kwa mara kama hajaamua kubadili mtindo wa maisha na mtindo wa ulaji. Kwa maana vile vinyama ukikata vinatolewa ila vitarudi tuu kama ataendelea kukosa mboga za majani akiwa anatumia choo ya kukaa muda mrefu saa zima umeuweka kama unakunya kamba vijamaaa vitarudi tena.
 
Pole sana,Mungu akuponye.
Nakushauri utumie; Habat sauda Ipo katika mfumo wa mafuta au unga. Inapatikana katika maduka ya viungo vya chakula, mimi niliipata kariakoo. Inasaidia mambo mengi.
Niliipata iliyo katika Hali ya mafuta unakunywa kijiko kimoja Cha chai asubuhi kabla ya kula chochote na jioni wakati wa kulala.
 
Back
Top Bottom