Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

Mgagan ndo unazidi kuvimbisha yan utaumia sio poa
Hapo unatakiwa upate dawa ya kunywa sambamba na ya kupona.Ukiwa tayari nitafute nitakupa dawa ya kutumia mwezi mzima mfululizo lakini utapona kabisa.
 
USHAURI WANGU HUU UNAWEZ KUKUSAIDIA

PUNGUZA CHAKULA CHA WANGA KULA KIASI
PUNGUZA PROTINI HASA NYAMA NYEKUNDU
PUNGUZA KUKAA AU KUTUMIA GARI MDA WOTE
PUNGUZA VYAKULA VYA SUKARI

B:-
KULA MBOGA ZA MAJAN SANA
KUNYWA MAJI ONE LITA BEFORE CHAKULA CHOCHOTE LISAA KABLA
KULA MATUNDA SANA
KULA VYAKULA VYENYE MIZIZI ,MABOGA SANA NA VINGNE
TEMBEA ZAIDI

KIKUBWA ZAID JIKUBALI NA BADILI MTINDO WA MAISHA UTAJITIBU NDANI YA WIKI TUU UTAANZA KUONA MATOKEO CHANYA
 
Inawezekana kupona kwanza anza kubadirisha mlo wako unaokula itaacha yenyewe, bawasiri ni matokea ya mfumo wa Chakula kua na itilafu sababu ni kutokula chakula au vyakula vywenye nyuzi nyuzi kwa wingi, ingawa sababu zake ni nyingi Ila kwanza kabisa ukitaka upone acha kabisa kula vyakula vya ngano mfano maandazi, chapati, nk chochote kilichopikwa kwa ngano kaa nacho mbali utaanza kupata nafuu
Nilifululiza kula ngano hapa, nipo naugulia maumivu.
 
Fanya masaji na alovera au mgagani usipopona njoo hapa tena onyo usifanye oprreatuon pia kunywa maji menhmgi kula mapapi pia tafuta dawa ya kusafisha tumbo
 
Fanya masaji na alovera au mgagani usipopona njoo hapa tena onyo usifanye oprreatuon pia kunywa maji menhmgi kula mapapi pia tafuta dawa ya kusafisha tumbo
Mataperi ni weng ivo unavotaja nshakula sana na herbal nying nimekula may be itakuwa concord
 
Mkuu bado hujapona, pole sana mwenyewe hii ktu imenisumbua sana aiseee nimetumia dawa inaitwa anusol ndo nimepata ahueni... zingatia sana kula fiber mkuu.
Hiyo dawa ya anusol ulitumia muda gani Hadi ukapona
 
Nimetumia hii siku ya 4 ila sioni mabadiliko yoyote
Apa nangoja kupasua ospital tu maana nimegaramikia sana naona no changes ao wanaosema inarud awana uakika nina watu kama wanne haijarudi baada ya kupasua lkn nje na upasuaji izo nyingine zinapooza tu ila sio matibabu ya kudumu
 
Nimetumia hii siku ya 4 ila sioni mabadiliko yoyote
Sio kila alietumia dawa flani akapona na ww ukitumia utapona ndomana ospitalu U.T.I ina dawa nyingi zinazotibu bawasili zingne ni suguuu
 
Apa nangoja kupasua ospital tu maana nimegaramikia sana naona no changes ao wanaosema inarud awana uakika nina watu kama wanne haijarudi baada ya kupasua lkn nje na upasuaji izo nyingine zinapooza tu ila sio matibabu ya kudumu
Upasuaji bei gani
 
Back
Top Bottom