Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

Bawasiri imenikata nguvu za kiume kabisa, msaada aliyepona

Chiz ilo linajiona limekamilika

Bdo
Pole sana ... Kuna tiba kama itakua tayari mimi pia nilipata tatizo hilo na ilimsaidia sana.. mimi nipo dar 0623140090 kama utahitaji kujaribu pia karibu malipo yake mpaka uone hali yako inakua vizuri unaweza kufanya hayo malipo
 
Inawezekana kupona kwanza anza kubadirisha mlo wako unaokula itaacha yenyewe, bawasiri ni matokea ya mfumo wa Chakula kua na itilafu sababu ni kutokula chakula au vyakula vywenye nyuzi nyuzi kwa wingi, ingawa sababu zake ni nyingi Ila kwanza kabisa ukitaka upone acha kabisa kula vyakula vya ngano mfano maandazi, chapati, nk chochote kilichopikwa kwa ngano kaa nacho mbali utaanza kupata nafuu
Vyakula vya ngano ni UKWELI MTUPU. Nilipata tatizo la BAWASILI nilipokuwa nakaa gheto uswahili kupika shida.

-Basi kila usiku mimi ni kila CHAPATI MAHARAGE kwa muda wa miezi nae.
*Japo nilikuwa mara chache sana, nitakula wali au ugali usiku.

- Nilikuja bawasili inayorudi ndani ila sasa hivi naona inapungua maana nina miezi 3 nimebadilisha aina ya vyakula kabisa
 
Back
Top Bottom