Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
pole sana nawe ni mhangaHospital labda ni operation tyuuh, na pia huwa inarudi tenaaa. Dawa za mitishambaa ndo zinatibu kweliii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana nawe ni mhangaHospital labda ni operation tyuuh, na pia huwa inarudi tenaaa. Dawa za mitishambaa ndo zinatibu kweliii.
Sijawahi kuumwa Bawaziri mie, ila huwa nawasikia wanao umwa. Na niendelee kui epukaa milele.pole sana nawe ni mhanga
aah,pole sanaSijawahi kuumwa Bawaziri mie, ila huwa nawasikia wanao umwa. Na niendelee kui epukaa milele.
Sasa mbona unamcheka tena Mshikaji wako, kwani hilo tatizo kajisababishia mwenyewe!!?? Gonjwa linaweza hamia kwako pia sijui na wwe utasemaje!!??
Labla kama ni pepo ndo lihameSasa mbona unamcheka tena Mshikaji wako, kwani hilo tatizo kajisababishia mwenyewe!!?? Gonjwa linaweza hamia kwako pia sijui na wwe utasemaje!!??
Ukiitumia Kama dawa inakusaidia!!Kwaio pombe kali insasidia?
Ndio dawa Gani?Kama utakua tayari, kuna dokta alimsaidia mdogo wangu, sina uhusiano nae wala simpigii debe, kama utataka kujaribu nambie nikutumie namba yuko dar
NB, anatumia dawa za kisuna
Pole, pamoja na mbinu walizopendekeza wadau pia kuna hii njia unaweza itumia i have seen its positive performance.Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
We vp unaongea kwa ukali unazani kila mtu huku jf ni mwenyeji take care alafu kila mtu anatoa dawa yake mda wa kuperuzi post za zamani ad niione yako ni lin jitambue sio unacoment pita kuleWatu wa tiba tuna changamoto sana,nilishaelekeza hapa namna ya kujiandalia tiba ya bawasiri sema watu wanapenda kudharau na kupuuza vitu! Mtaendelea kuhangaika sana hata katika vitu vidogo na vinavyowezekanika.Kama huwezi unasema usaidiwe hata kama ni kwa gharama lakini upate kurejesha afya yako.Bawasiri siyo jambo dogo itaendelea kukuvuruga kisaikolojia usipokuwa makini. Tiba zipo na unapona,kama wengine wanapona kwa nini wewe usipone!?
Pole sana! Naona una stress nyingi sana.Mungu ni mwema atakusaidia.We vp unaongea kwa ukali unazani kila mtu huku jf ni mwenyeji take care alafu kila mtu anatoa dawa yake mda wa kuperuzi post za zamani ad niione yako ni lin jitambue sio unacoment pita kule
Unatumiaje nduguTumia mgagani mkuu, walio wahi kupata hilo tatizo wanasema huo mmea uliwaponya kabisa.
Mimi nina zaidi ya miaka 15 nasumbuliwa na hiyo kitu Bawasili llinisumbua sana mwanzo kwa kuwa ilikuwa ni kwamba kama ugonjwa wa aibu unaanzaje kusema lakini maumivu yalipozidi ilibidi niwe wazi.Bawasili imenikata nguvu za kiume kbsa msaada aliepona
Hakuna kitu apo izo umetaja ninjia za kujikinga ili isikupate na kama imekupata basi izo njia zitapooza tatzo na sio kutibu will back againMimi nina zaidi ya miaka 15 nasumbuliwa na hiyo kitu Bawasili llinisumbua sana mwanzo kwa kuwa ilikuwa ni kwamba kama ugonjwa wa aibu unaanzaje kusema lakini maumivu yalipozidi ilibidi niwe wazi.
ndipo nikakutana na shauri mbalimbali zilizo nisaidia na mpaka leo inanipa hafueni swala la kupona kabisa halinisumbui sana.
- badili mfumo wa maisha punguza ngano na pia ikitokea unakula nyama nyekundu kula kwa kiasi na hakikisha unatumia mboganyingi za majani.
- mbuguza uzito ukiweza inadaiwa uzito pia ni sehemu ya hili tatizo
- punguza pombe na ikiwezekana achana nazo kwa muda hasa pombe kali
- tu.mia matunda zaidi hasa papai ikiwezekana asubuhi piga papa kubwa nusu na jioni nusu piga hapo na maji ya kutosha ukifanya kwa uaminifu kwa wiki utapata matokeo makubwa sana.
- hakikisha unakuwa na tabia ya kusimamasima usikae kwa muda mrefu lakini pia kama uko ofisini badilisha kitu tumia kile office chair cha Mtendaji na kuna wakati unaweza kukalia tatika staili sehemu ya kati haibebi mzigo mkubwa yaani unakaa kwenye kiti ukijichungulia unaona pembe ya kiti inatengeneza pembe tatu yaani pale kwenye maunguio ya suruali panabakiza kisehemu cha pembe tatu usikae muda mrefu kwa kiasi tu kwa kila muda.
- pamoja na yote waliokushauri jiamini kuwa mtu wa ibada fanya mazoezi kidogo tembea angalau saa moja kwa siku tatu kwa wiki kwa kuwa kuna watu wanamatatizo zaidi yako usiwe na wasiwasi hakuna lisilowezekana kwa MWENYEZI MUNGU yeye aliyetuumba atatulinda pia tumtumainie yeye.
- vinginevyo karibu pm.
Unamanisha za kiislam?Kama utakua tayari, kuna dokta alimsaidia mdogo wangu, sina uhusiano nae wala simpigii debe, kama utataka kujaribu nambie nikutumie namba yuko dar
NB, anatumia dawa za kisuna