Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Umemsikiliza Zari alichosema?
Diamond mwanaume amepata mabawa na kusahau alipotoka karuka majivu ameenda kukanyaga moto.
[emoji106]Nimeona bbc swahili startv ni afadhali kajiepusha kufa mapema maana asingekufa na pressure angekufa na maradhi mwache alee watoto wake yatima na hao wenye baba zipu mbovu.
Je kuna uwezekano wa hawa kurudiana? Inadaiwa Mama DP anaelewana sana na Zari je anaweza kutumia uwezo wake kama mzazi ili wazazi wa wajukuu zake waendelee kuwa pamoja kama wapenzi?
Imezua balaaaValentine bana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] anatafuta sympathy halafu mondi kimyaaaaAnatapatapa tu,kwani wakati wanatongozana walitumia media?,kwenye kuachana kelele nyiiingi,atulie tu busara itumike zaidi ya mihemko
Kusaga ndio yupo behind this Diamond Platnumz anatumika tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] nyie bwana hivi who is Zari?Vizuri kaongelea kafunga kitabu na tumejua dai ni bomu bomu bomu.. kakimbiwa na fans wemgi wa damu damu.. wamebaki wengi wale ambao hawakumpenda tangu..
Halaf diamond hajawah muomba msamaha, diamond alimuacha zamani tukwani Zari si amemkuta Diamond akiwa ametoka huko alipotoka.
akwendree bibi mjane huyo.
Anaongelea mno mwache amchokonoe Siku diamond akiyamwaga atatujuaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] anatafuta sympathy halafu mondi kimyaaaa
Hapo ishakula kwakee!always mkiachana ukiona mwenzio anakuongelea sana ujue bado anakuhitaji!
Nilikuwa nashangaa mbona Hamisa ana kiburi[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] nyie bwana hivi who is Zari?
Kuna team ilikua na nguvu km team wema!
Kaeni kimya hapa!
We muache tu ajifanye domo kaya!Anaongelea mno mwache amchokonoe Siku diamond akiyamwaga atatujuaa
Na Siku diamond Akisema insta itetemekaa, we alivyosemaga tu Ndio kwanza Nna miaka 28 nikajua Hapa Hakuna kitu, Nasikia Hamisa kitandani ni balaaaaWe muache tu ajifanye domo kaya!
Mbona hata yeye anayo yake!ataumbuka
Na Siku diamond Akisema insta itetemekaa, we alivyosemaga tu Ndio kwanza Nna miaka 28 nikajua Hapa Hakuna kitu, Nasikia Hamisa kitandani ni balaaaa
Sana tu mwanaume anaekupenda haswaa hacheat hadharaniNilikuwa nashangaa mbona Hamisa ana kiburi