BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

BBC Dira ya Dunia: Zari athibitisha kuachana rasmi na Diamond

Sitegemei kama watarudiana,ivan alikua anaelewana sana na mama zari na haikuweza mshawishi zari arudi kwa ivan sembuse mama dai ambae hana undugu na zari impossible mission.
Dai alipofikia anahisi dunia kaiweka kiganjani,chochote atakachosema anaona ni amri na lazima kutekelezwa. Ila siku zari akichoshwa sana na hao watu tegemea wale watoto wa dai kubatizwa huko sauzi na mchezo utakua umekwisha.
Je kuna uwezekano wa hawa kurudiana? Inadaiwa Mama DP anaelewana sana na Zari je anaweza kutumia uwezo wake kama mzazi ili wazazi wa wajukuu zake waendelee kuwa pamoja kama wapenzi?
 
Sasa hivi anampango wa kujenga mjengo Rwanda. Tusubiri atuletee mtoto wa ki Tutsi
 
Diamond kapoteza mwanamke wa shoka huo ndio ukweli, akubali akatae atamkumbuka Zari, kipindi cha mahusiano yao kilikuwa cha mafanikio sana kwa pande zote mbili kibiashara nk kuanzia endorsement kwenye makampuni kadhaa, shows walizo host pamoja nk ila ndio hivyo kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho, pengine huu ndio mwisho wao.
 
Kwani ni lini Diamond aliwahi kuwa na mahusiano na Zari..?
Zari alikua mali ya Kusaga,Diamond alikua anatumiwa tu...
Watoto wote wale(Nillan na Tiffah) sio wa Diamond ni wa Kusaga..!




Ahahaaaah..!!!
Wabongo hatari sana..!
 
Anatapatapa tu,kwani wakati wanatongozana walitumia media?,kwenye kuachana kelele nyiiingi,atulie tu busara itumike zaidi ya mihemko
[emoji2] [emoji2] [emoji2] anatafuta sympathy halafu mondi kimyaaaa

Hapo ishakula kwakee!always mkiachana ukiona mwenzio anakuongelea sana ujue bado anakuhitaji!
 
" zari hajui kuchangamkia koni " [emoji23] [emoji13] [emoji119]
 
Diamond alishaamua amuache ila alikua anatafuta nafasi tu!bidada kajiwahi!
Na Siku diamond Akisema insta itetemekaa, we alivyosemaga tu Ndio kwanza Nna miaka 28 nikajua Hapa Hakuna kitu, Nasikia Hamisa kitandani ni balaaaa

Nilikuwa nashangaa mbona Hamisa ana kiburi
Sana tu mwanaume anaekupenda haswaa hacheat hadharani
Nna uhakika ule mpango wa kutaarifu media juu ya mtoto wa hamisa ulipangwa na pia mama chibu kumtukana misa pia ili kuminjoy zari

Mwisho wa siku dokta kaenda south karudi uhawara chalii!!
Maana hawana ndoa wale!
 
Back
Top Bottom