BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Focus on Africa - Tanzania: Tundu Lissu wants to run for president - BBC Sounds

Mbali na kuonyesha uwezo mkubwa wa kumudu lugha ya kingereza,lakini pia anajua kujieleza na kujibu vizuri maswali, sifa ambayo mwanasiasa yoyote anapaswa kuwa nayo

Machache miongoni mwa aliyosema katika mahojiano hayo ni haya hapa chini:

We will create a government that respects first and foremost humanity, human dignity; a govt that protects its citizens. (...) We will do precisely the opposite of what President Magufuli has done for the past five years-Tundu Lissu
 
BBC they are not voters Chadema General meeting are the ones to decide who will be their. Presidential Candidate.

Lisu is a conman conning international media as if he is already selected as a Chadema presidential candidate!! Which is not true!!

Europeans take care of your wallets . Lisu is a conman and a thief.Chadema has not yet selected their presidential candidate!!! Mind your pockets and wallets
 
You deserve to be ignored!!
 
Focus on Africa - Tanzania: Tundu Lissu wants to run for president - BBC Sounds

Mbali na kuonyesha uwezo mkubwa wa kumudu lugha ya kingereza,lakini pia anajua kujieleza na kujibu vizuri maswali,sifa ambayo mwanasiasa yoyote anapaswa kuwa nayo.
Uzuri hujulikani vizuri ndani ya CDM, na huna position ya maana, kwani ungefukuzwa chama kama atakavyofukuzwa Lissu, kama haluwa politically smart na akaanza kuzifungua Fundi alizozifunga Mbowe na genge lake la kifisadi
 
Hujui hata matumizi they...eti bbc they are......kichwa kibovu kiingereza kibovu unatia aibu.Vip wale waliompokea jana ni babu zako.nyambsfu
 
Unahangaika sana na kiingereza chako cha kuokotea chupa za maji mitaani, mambo ya Chadema waachie Chadema wenyewe.
 
Anaulizwa atamshinda vipi Magufuli ambae dunia inaona kafanya kazi kubwa ya kuisogeza Tanzania mbele au una mbinu gani za kufanya zaidi ya kile alichofanya mwenzake.

Jibu lake: ataongeza democracy kwenye jamii.

☝sio maneno yangu watu wasikilize wenyewe maswala ya uchumi yeye hataki kusikia.

Hata hao mabeberu washachoka ile hadithi yake, wanataka kujua what next.
 
Mkuu ungeandika tu kwa kiswahili ungeleweka kuliko hayo maneno yako ya kiingereza yenye mapengo. Nenda kasome english course pale British council posta
 
Hapa kimombo hakipo!
 
Mwambie approach ya kutulingishia wazungu hazina mashiko .

Tunataka Rais wa Tanzania sio EUROPEAN Sent present.

Mark my words
 
Mbona unaumia hivo bibie ,yaani umeandika kwa uchungu mzito kama unajifungua vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…