Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Focus on Africa - Tanzania: Tundu Lissu wants to run for president - BBC Sounds
Mbali na kuonyesha uwezo mkubwa wa kumudu lugha ya kingereza,lakini pia anajua kujieleza na kujibu vizuri maswali,sifa ambayo mwanasiasa yoyote anapaswa kuwa nayo.
Mache miongoni mwa aliyosema katika mahojiano hayo na haya hapa chini:
We will create a government that respects first and foremost humanity, human dignity; a govt that protects its citizens. (...) We will do precisely the opposite of what President Magufuli has done for the past five years-Tundu Lissu
Kiingereza ni lugha tu kama Kiswahili, labda kama bado mnaendelea kuwaabudu wazungu ambao walibeba babu zenu kama watumwa.