BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is


Kiingereza ni lugha tu kama Kiswahili, labda kama bado mnaendelea kuwaabudu wazungu ambao walibeba babu zenu kama watumwa.
 
Tundulisu ni mwanaharakati wa kisiasa.

Kwa kawaida wanaharakati wa aina hii hawafai kuwa viongozi wa juu ktk nchi.

Wanaharakati wa kisiasa ndio wanasiasa pekee wanaoweza kuiona pepo.

Wao wameumbwa kusema ukweli na kupigania haki za Raia.
Kwenye kusimamia haki na ukweli yuko tayari hata kufa.

Ila ukimuweka kwenye nafasi ya ngazi za juu kwenye kuongiza nchi atafeli vibaya sana.

Hivyo mtu kama tundulisu hafai kuwa Rais.
 
BBC wenyewe hawana market kwenye nchi yao, wamebakia kutoa majungu na propaganda kwenye African countries ambazo hazijitambui.
 
Lissu hajawahi kutuangusha watanzania
 
Lissu ni zawadi toka kwa mungu
 
😅😅😅 Tundu lisu et naye tutamsahau kama korona..jamani TL wakati wako bado kaka
 
Mkuu ungeandika tu kwa kiswahili ungeleweka kuliko hayo maneno yako ya kiingereza yenye mapengo. Nenda kasome english course pale British council posta
Aende kwa ras simba.
 
Bila Shaka, lissu atakua rais anayeungwa mkono dunia nzima sababu ya kuijua sheria vizuri. Tayari huko duniani wameshampitisha bado sisi sasa.





Mwambieni akawe rais wa hiyo dunia. Sisi JPM anatutosha
tupo msibani wacha kelele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…