johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
BBC katika kipindi cha Dira ya Dunia wamehoji kwanini ilani ya CHADEMA haitaji kabisa mgawanyo wa nafasi za uongozi kama ilivyo kwa ilani za vyama vingine.
Kwa mfano CCM na ACT Wazalendo wameweka bayana katika ilani zao kwamba wanalenga kutoa nafasi za uongozi kwa uwiano wa 50% kwa 50% kwa wanaume na wanawake.
Je, CHADEMA kuna mfumo dume?
Chanzo: BBC
Maendeleo hayana vyama!