Uchaguzi 2020 BBC: Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA haielezei nafasi za wanawake katika uongozi, CCM na ACT wameweka 50 - 50!

Uchaguzi 2020 BBC: Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA haielezei nafasi za wanawake katika uongozi, CCM na ACT wameweka 50 - 50!

Pia walionesha takwimu za wagombea waliopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi za ubunge.

Ilikuwa hivi;

CHADEMA - Waliopitishwa ni 61

CCM - Waliopitishwa ni 24

Takwimu hizo hapo juu ni kati ya wabunge wa majimbo 234.

Ilionekana kwamba CCM wanaendekeza mfumo dume kuliko CHADEMA.
 
Hesabu wagombea ubunge wa vyama hivyo utagundua ilani na uhalisia. Kilichoandikwa katika ilani na utekelezaji Ni vitu viwili tofauti
 
Kuna uandikishwaji una endelea mashuleni kwa watoto,umri kuanzia miaka 17 -18, zoezi lina fanywa kwa siri kwa kushirikisha Mabalozi wa nyumba 10 CCM. Tuna fuatilia kila upumbavu unao fanywa.Kuzuia wizi wa kura kuna thamani kubwa kama kupigana vita dhidi ya wavamizi wa Nchi yako
Eeeeh nimeipata sehemu watoto wadogo kupewa vitambulisho. Sasa si wataonwa tu
 
BBC katika kipindi cha Dira ya Dunia wamehoji kwanini ilani ya CHADEMA haitaji kabisa mgawanyo wa nafasi za uongozi kama ilivyo kwa ilani za vyama vingine.

Kwa mfano CCM na ACT wazalendo wameweka bayana katika ilani zao kwamba wanalenga kutoa nafasi za uongozi kwa uwiano wa 50% kwa 50% kwa wanaume na wanawake.

Je, CHADEMA kuna mfumo dume?

Source BBC

Maendeleo hayana vyama!

MKuu unajua idadi ya wagombea wanawake kwa Chadema na vyama vingine mwaka huu ?
 
BBC katika kipindi cha Dira ya Dunia wamehoji kwanini ilani ya CHADEMA haitaji kabisa mgawanyo wa nafasi za uongozi kama ilivyo kwa ilani za vyama vingine.

Kwa mfano CCM na ACT wazalendo wameweka bayana katika ilani zao kwamba wanalenga kutoa nafasi za uongozi kwa uwiano wa 50% kwa 50% kwa wanaume na wanawake.

Je, CHADEMA kuna mfumo dume?

Source BBC

Maendeleo hayana vyama!
cha ajabu sasa.... Chadema ndiyo imesimamisha wabunge wengi wanawake kuliko vyama vyote.

actions speak louder - always!

niongeze volume?
 
BBC katika kipindi cha Dira ya Dunia wamehoji kwanini ilani ya CHADEMA haitaji kabisa mgawanyo wa nafasi za uongozi kama ilivyo kwa ilani za vyama vingine.

Kwa mfano CCM na ACT wazalendo wameweka bayana katika ilani zao kwamba wanalenga kutoa nafasi za uongozi kwa uwiano wa 50% kwa 50% kwa wanaume na wanawake.

Je, CHADEMA kuna mfumo dume?

Source BBC

Maendeleo hayana vyama!
Kiuhalisia wao hawajaweka nadharia kama wengine wao wamefanya kwa vitendo kwakusimamisha wagombea wanawake wengi zaidi ya chama chochote wakija kujumlisha na viti maalumu basi wanaweza kuzidi hata hiyo 50/50
 
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Kiingereza kama chote
 
Back
Top Bottom