n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Ukiona hilo genge limeweka 50/50, ujue hao wanawake waliowekwa ni chakula ya faru John. Ni chama cha demokrasia na maendeleo ya tumboni tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho ulichoandika sio kweli.Toka Chadema imeanza haijawahi kuwa na mgombea Urais Mwanamke wala mgombea mwenza mwanamke,
Kwa uchache ni kuwa Chadema hakina imani na wanawake kabisa.
Mjinga kama ww ni miongoni mwa wajinga wengi huku Africa wanaolishwa ugoro na watawala wapuuzi naww kwakuwa unamiliki kichwa kama sanduku la kubebea meno huna uwezo wakufikiri ujinga huo wakuambiwa wazungu wabaya alifanya Mugabe na wapuuzi wadzaini walipiga mbinja kwamba huyo ndio mkombozi wakanyang'anya mpaka mashamba .... umesikia Sasa hivi kinachoendelea huko labda nikusaidie kinachoendelea ni kwamba sio tu Mnangagwa kawarudishia mashaamba pia ametunga sheria wasibugudhiwe jiulize walijinga wadzaini wanajisikiajeBBC wamewabebabeba chadema naona mbeleko imeanza kukatika rasmi baada ya wazungu kuona kumbe hawa watu ni hopeless maandazi kabisa.
Mkuu hii chai ya Kusini Unguja"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Umeandika ujinga Mbowe alihombea na naniToka Chadema imeanza haijawahi kuwa na mgombea Urais Mwanamke wala mgombea mwenza mwanamke,
Kwa uchache ni kuwa Chadema hakina imani na wanawake kabisa.
Sasa kama chadema nzima mko busy na kingereza cha Magufuli unategemea nini?..Kuna uandikishwaji una endelea mashuleni kwa watoto,umri kuanzia miaka 17 -18, zoezi lina fanywa kwa siri kwa kushirikisha Mabalozi wa nyumba 10 CCM. Tuna fuatilia kila upumbavu unao fanywa.Kuzuia wizi wa kura kuna thamani kubwa kama kupigana vita dhidi ya wavamizi wa Nchi yako
Bwashee ilani inazungumzia mgawanyo wa madaraka kijinsia kwenye level zote siyo ubunge pekee ndio maana Dr Victoria aliwashangaa sana Chadema!Bwashee ving'amuzi hatuna lakini BBc tunaangalia Grocery. Mbona hujaeleza maelezo ya juu kabisa ya taarifa iliosomwa na Estar kahumbi(mashalah), kua Chadema ndio kina wagombea wengi wa kike wapatao 61, Act wazalendo 40 na Ccm 24 tu?
Why umeacha kwa makusudi ili uwapotoshe wanawakee?
Utampotosha jane lowasa pekee ake ila makamanda walioamua akina Sky Eclat huwawezi
Nimekuelewa bwashee!Mleta mada ngoja nikujibu hapa hapa.
CHADEMA wanasema hiyo ahadi ya 50/50 ni ahadi ya hadaa za kisiasa, tangu imeanza kuimbwa na CCM toka 1995 mpaka leo hii haijawahi kutekelezwa kivitendo hata nusu, wao CHADEMA hawawezi kuiga vitu hewa bali wanajifunza vitu vya msingi vyenye uhalisia. Mantiki ya 50/50 kwenye nafasi ya uongozi kisayansi haipo. Uongozi utazamwe kiuwezo na kamwe usitazamwe kijinsia, kiumri, kidini au kikabila.
Nafasi ya ushiriki wa mwanamke na mwanaume kisiasa ndani ya sera ya CHADEMA ipo sawa, hawawezi kumbeba mwanamke kwa gharama ya kumshusha mwanaume na Vice versa. Wanawake wote waliopitishwa na CHADEMA kugombea nafasi mbali mbali za kisiasa mwaka huu, walishindana na wanaume ndani ya CHADEMA na wakashinda. Hakuna wakubebwa. Ndio maana huwezi kuwasikia CHADEMA wakijisifu kuwa wameteua wagombea wengi wanawake kuliko vyama vingine. Why? Uanamke sio kigezo cha kuchaguliwa au kutokuchaguliwa.
Wanawake wa CHADEMA wanaweza na sio wanawake wa kuwezeshwa.
Umesikia wapi?Sasa kama chadema nzima mko busy na kingereza cha Magufuli unategemea nini?..
Nyie ni wakuchapwa tu mpaka mibichwa hiyo ipate moto akili zirudi.
Kila siku tunawaambia watu wako hyku field kusaka ushindi, nyie mko busy kumsindikiza Lissu akanunue nyanya kariakoo,
.
Hakuna uchaguzi mtapigwa kama huu.