Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
MAGUFULIHivi jiwe hana account humu JF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MAGUFULIHivi jiwe hana account humu JF?
Hajawahi atakucoment?
Lkn kweli. Wakichukia wana lao jamboIdrisa alitoa kabla ya wakati. Huu ni wakati wa utani na vicheko bwana! Anayechukia tutamshangaa sàna. Ndio maana hata Chakubanga anamuita #NIYEYE kuwa ni mgombea wa chama cha Mbowe na hakuna anayejali wala kurusha jiwe.
Hivi haya mambo huwa mnayaona kwenye dunia yenu tu🤔?Kuna uandikishwaji una endelea mashuleni kwa watoto,umri kuanzia miaka 17 -18, zoezi lina fanywa kwa siri kwa kushirikisha Mabalozi wa nyumba 10 CCM. Tuna fuatilia kila upumbavu unao fanywa.Kuzuia wizi wa kura kuna thamani kubwa kama kupigana vita dhidi ya wavamizi wa Nchi yako
Wenyewe wanajiita wasomi 😂😂.Yaani CHADEMA wa Jf ni Wajinga sana.Hawajawahi jibu hoja ipasavyo hata siku moja.
Trash.
Naomba kujua scholarship huwa zinatolewa kwa kuzingatia vigezo gani, asante@Bujibuji , Impolitishen so many wordiz bwana. Ebo, mwangaluka mwamishamola!
View attachment 1594434
Wanasubiri Lissu aje awajibie.Yaani CHADEMA wa Jf ni Wajinga sana.Hawajawahi jibu hoja ipasavyo hata siku moja.
Trash.
Nimefuatilia hii kijijini kwetu nikakuta hilo halipo kijijini kwetu. Huo ni uongo.,Kuna uandikishwaji una endelea mashuleni kwa watoto,umri kuanzia miaka 17 -18, zoezi lina fanywa kwa siri kwa kushirikisha Mabalozi wa nyumba 10 CCM. Tuna fuatilia kila upumbavu unao fanywa.Kuzuia wizi wa kura kuna thamani kubwa kama kupigana vita dhidi ya wavamizi wa Nchi yako
Ila CHADEMA ndio chama pekee Tanzania chenye sera ya wanawake tena comprehensive kabisa.
Bila kusahau ndio imeweka wagombea wengi wanawake kuliko chama chochote Afrika mashariki na kati kidogo inazidiwa na RPF pekee. Sasa hiyo 50-50 huko CCM ipo kwenye makabrasha pekee sio vitendo.
"We suppose to focus according our direction, according our environment, that's only way we can help our peoples. No body should come and say that his there to save the problems of our peoples, we are the one we are leader we suppose to change the direction"p