Uchaguzi 2020 BBC: Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA haielezei nafasi za wanawake katika uongozi, CCM na ACT wameweka 50 - 50!

Idrisa alitoa kabla ya wakati. Huu ni wakati wa utani na vicheko bwana! Anayechukia tutamshangaa sàna. Ndio maana hata Chakubanga anamuita #NIYEYE kuwa ni mgombea wa chama cha Mbowe na hakuna anayejali wala kurusha jiwe.
Lkn kweli. Wakichukia wana lao jambo
 
Toka Chadema imeanza haijawahi kuwa na mgombea Urais Mwanamke wala mgombea mwenza mwanamke,

Kwa uchache ni kuwa Chadema hakina imani na wanawake kabisa.
 
Hivi haya mambo huwa mnayaona kwenye dunia yenu tu🤔?
 
Hata kama ipo Lisu angesema lini wakati anamuwaza JPM kila muda
 
Toka Chadema imeanza haijawahi kuwa na mgombea Urais Mwanamke wala mgombea mwenza mwanamke,

Kwa uchache ni kuwa Chadema hakina imani na wanawake kabisa.
 
Nimefuatilia hii kijijini kwetu nikakuta hilo halipo kijijini kwetu. Huo ni uongo.,
 
Ila CHADEMA ndio chama pekee Tanzania chenye sera ya wanawake tena comprehensive kabisa.

Bila kusahau ndio imeweka wagombea wengi wanawake kuliko chama chochote Afrika mashariki na kati kidogo inazidiwa na RPF pekee. Sasa hiyo 50-50 huko CCM ipo kwenye makabrasha pekee sio vitendo.
 

Bila kusahau CCM Mpya na mgombea wao, ahadi na sera zao wanawaza kuwachapa makofi shangazi zetu kisa Korosho.
 
27 September 2020
Chitemo, Dodoma
Tanzania

Kinamama wawasilisha kilio chao kwa mgombea mwenza Urais CHADEMA kimbilio la wanyonge

 
Uwe unajipa muda kufikiri.......unajua Kati ya CCM
na CHADEMA Nani anafanya vizuri katika kutekeleza hiyo 50/50 ...habu angalia Ushiriki na ushirikishwaji wa Wanawake katika kugombea Uongozi katika uchaguzi wa Mwaka huu. CHADEMA inaizidi CCM Marks 100
 
06 October 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania

Wanawake wafurahi madiwani wa CHADEMA kutolewa toka gerezani, kinamama waamua kuipiga 'teke' CCM


Source : DSS Tunduma
 
Poleni Sana...that is the only way you can console yourselves...waiting for heavy defeat,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…