Uchaguzi 2020 BBC: Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA haielezei nafasi za wanawake katika uongozi, CCM na ACT wameweka 50 - 50!

Pia walionesha takwimu za wagombea waliopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi za ubunge.

Ilikuwa hivi;

CHADEMA - Waliopitishwa ni 61

CCM - Waliopitishwa ni 24

Takwimu hizo hapo juu ni kati ya wabunge wa majimbo 234.

Ilionekana kwamba CCM wanaendekeza mfumo dume kuliko CHADEMA.
 
Hesabu wagombea ubunge wa vyama hivyo utagundua ilani na uhalisia. Kilichoandikwa katika ilani na utekelezaji Ni vitu viwili tofauti
 
Eeeeh nimeipata sehemu watoto wadogo kupewa vitambulisho. Sasa si wataonwa tu
 

MKuu unajua idadi ya wagombea wanawake kwa Chadema na vyama vingine mwaka huu ?
 
cha ajabu sasa.... Chadema ndiyo imesimamisha wabunge wengi wanawake kuliko vyama vyote.

actions speak louder - always!

niongeze volume?
 
Kiuhalisia wao hawajaweka nadharia kama wengine wao wamefanya kwa vitendo kwakusimamisha wagombea wanawake wengi zaidi ya chama chochote wakija kujumlisha na viti maalumu basi wanaweza kuzidi hata hiyo 50/50
 
Kiingereza kama chote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…