BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

Mtu mzima miaka 12 unafanyiwa ukatili na umetulia tu.
Unaenda sokoni unarudi ndani kufanyiwa ukatili.
Unaenda kanisani unarudi kufanyiwa ukatili.
Unaenda mjini unapita vituo vya polisi kibao unarudi ndani kufanyiwa ukatili.

Huu sio ukatili ni makubaliano.

Hapa mtu anataka Urithi wa Mali tu.
 
Ohhhhh..... Godly agents ni kina nani?
 
Hawa manabii haihitaji BBC kuwajua
 
Nilikuja kugundua jamaa msanii siku moja macheko emmanuel tv, wakarusha jamaa ameenda kutembelea kituo cha walemavu akapeleka baskeli za walemavu kama msaada

Nikajiuliza kwanini asingewaombea wapone, why anawapa baskeli?

Wale ni real walemavu sio maigizo
 

Rubbish
 
Acheni utetezi dhaifu. Lazima ukweli uwekwe wazi.
Dunia Haina ukweli bali wengi wenu ni waongo kama baba yenu ibilisi!
Walivyoona anapinga ushoga waziwazi na yule mtu aliyeombewa na mapema yalikiri yanamtumikisha kwenye ushoga na video kutrend mtandaoni ndio tatizo lilipo anzia na wakamfungia mpaka account ya YouTube!
Hawa ndio wazungu! BBC NEWS
 
Bado hujafikiria
 
TV yake inayoitwa Emmanuel TV bado hipo
Kwenye dstv wametoa tangazo tangu wiki iliyopita kuanza tar 15 mwezi huu haitakuwepo hewani tena kwenye king'amuzi hiyo Emmanuel tv
 
MY NAME IS 'LEAVE IT FOR GOD' -
Prophet T.B. Joshua

“I am good example of ‘Leave it for God’. Prophet 'Leave it for God'. That is me for you; I know what I am doing. You think I cannot fight? My name is ‘Leave it for God’. Because I will not allow this to affect my future.

The future is very clear - clear and bright. Why should I allow anything to stain that future? The only way they can stain it is to attack and insult you. Your answer to that insult will stain the future. Don’t trade anything with the future. Suffer now and enjoy tomorrow.

Please - be patient for the future. That is the answer. We are not patient for the future; you are too much in a hurry. “I have to defend myself” - no. A time is coming - your future will answer them. Unanswered questions - the future will answer. If you can be patient, that future will answer your critics. Be patient - your future will answer your critics. That is when God will set a table before you and every essential of life will be on the table. The table will answer your critics.

Future is next - an hour to come, a second to come. Your life can change any moment from now! When we say future, people think ten years from now. 'I cannot wait; I am still a student. I am unemployed. I am homeless. How will I arrange my future? What future is this man talking about?' Future belongs to God and future is what we call mystery. How it happens - you don’t know.

The glory - many have lost it. We have to be frank. We got it before and we lost it but God is merciful. Don’t give up. If you have lost it, that is not the end. Be patient for your future. Your future will answer your critics. Your future will answer your enemies. Your future will answer your adversaries."

#TbJoshuaLegacyLivesOn
 
5 Tunajua huduma ya Tb Joshua iliharibu biashara za wakubwa duniani, ilifikia hatua wenye kansa, HIV, uvimbe, sukari na magonjwa mengi yanapona kwa njia ya maombi bila kutumia dawa.
Wewe ni mbuzi.....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli wajinga ndio waliwao hv wakristo baadhi yenu lini mtakua na akili

Angekua anatibu kweli hayo maradhi ingejulikanika tuuuu

Huyo tapeli kama wale wa tuma kwenye namba hii ila utapeli wake kauvika joho la ukristo

Sitaki kuamini kama mwamposa hajawahi kukutapeli

Au yule nabii alijichora matatuu na kibukta chake [emoji1787][emoji3][emoji1787]
 
@JR 16 pitia hapa hem
 
Ana pacha wake yuko Morogoro wanafanana hivyohivyo hata jina wanafanana pia
 
Sio waandishi wote wana njaa, hasa unapozungumzia waandishi wa chombo kikubwa kama BBC cha ulimwengu wa kwanza ambaacho kinatoa hadi taarifa hasi za mabilionea mara nyingi tu.
BBC hii siyo unayoisema wewe hapa.

Kuwa chombo kikubwa haiwezi kuwa sababu ya kupindisha habari maybe wajui waandishi wewe ukae kwa kutulia.


Nikudokeze kidogo tu, ukienda kwenye page ya yutubu ya TBJ kuna hizi issues nyingi naona aliwahi kuhojiwa na kuelezea why hao BBC hawakufanya kwa wkt huo kukiwa na rumors kibao?.

Lakini hebu tuseme lengo la bbc ni kufungua watu akili sawa na je, hao waliokuwa wanabakwa kwa nini hawajenda kulipoti polisi au kwa jamaa zao?.

Although kuna jambo bbc wanalitumia baada ya jamaa kupinga ushoga, note this!.
 
@JR 16 pitia hapa hem

@JR 16 pitia hapa hem
Umemfanya nicheke, TB Joshua ni mtu alikemea na kuwafungua mashoga na kuachana na kazi hiyo, tuliona vijana mashoga kule Paraguay na Peru walivyofunguliwa kupitia mambo, wengi baada ya kuombewa walikuwa wanalia, kumbe lilikuwa ni pepo. Iko hivi hata Yesu na mitume hawa kuponya kila mtu, walipoona ni wale waliohitaji uponyaji na kumpokea Yesu Kristo kuwa mwokozi wa maisha yao, pia kuna vilema wengine ni vilema kwa ajili ya utukufu wa Mungu, Mungu ndo amewaomba vile vile. BBC wanataka kutuaminisha kwamba Mungu haponyi kupitia watumishi wake, kwamba uponyaji ulioandikwa kwenye biblia ni uongo, BBC inatakiwa wakasaidie vijana mapunga wa huko Ukata.
 
Kwahio una amini kama jamaa kweli alikua nabii???
 
Kwahio una amini kama jamaa kweli alikua nabii???
kwa mjibu wa biblia nabii ni mwonaji, manabii walikuwa kuwepo na mpaka sasa wapo, mimi kwa imani yangu ya Kikristo yule alikuwa prophet, nyie kama mngeishi enzi za Yesu au Mhamad mngeshiriki kuwaua kuwa ni manabii fake. BBC hawana uhalali wa kujadili mambo ya Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…