Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mwonaji wa vipi hem ongezea nyama hapa mkuuukwa mjibu wa biblia nabii ni mwonaji, manabii walikuwa kuwepo na mpaka sasa wapo, mimi kwa imani yangu ya Kikristo yule alikuwa prophet, nyie kama mngeishi enzi za Yesu au Mhamad mngeshiriki kuwaua kuwa ni manabii fake. BBC hawana uhalali wa kujadili mambo ya Mungu.
Wanazo habari za uhakika..ndio maana wenye SCOAN hawawezi kuishtaki BBC.Bbc should give tangible/solid evidence not talks
Maneno wanayoongea hao huo sio ushahidi ni kuchafuana
Huwezi kupublish habari kama hizo kwa maelezo ya hao wahojiwa wakati hawana solid evidence
Ndio mjue hawa bbc sio chombo cha habari tena,alafu mbona tafiti zao wanahangaika na blacks only?
Aisee..kwa mjibu wa biblia nabii ni mwonaji, manabii walikuwa kuwepo na mpaka sasa wapo, mimi kwa imani yangu ya Kikristo yule alikuwa prophet, nyie kama mngeishi enzi za Yesu au Mhamad mngeshiriki kuwaua kuwa ni manabii fake. BBC hawana uhalali wa kujadili mambo ya Mungu.
Mwamposa kanunua maroli manne mapya ya kusambaza maji na mafuta mikoani.Wafanye haraka sana na wakiweza wafanye hivyo kwa manabii wote
Habari ndugu.Heri ya mwaka mpya mkongwe...
Upo sahihi, lakini habari kama hizi zingekuwa na mashiko zaidi endapo zingetolewa kipindi muhusika akiwa hai naye tusikie utetezi wake...
Pamoja na kwamba SCOAN imepoteza ule umaarufu wake, kuzitoa habari hizi kwa sasa tutakuwa na maelezo ya upande mmoja tu...Usemayo ni sahihi kwa mambo ambayo hatuna hakika. Lkn la huyo jamaa sio la kubahatisha.
NakaziaSasa msingoje Hadi Mwamposa amekufa, toeni ushuhuda sasa.
Watu wa dini wakiamua kung'ang'ania imani zao za kijinga huwezi kuwabadilisha.Wanazo habari za uhakika..ndio maana wenye SCOAN hawawezi kuishtaki BBC.
Wakiishtaki, ushahidi mwingi utatolewa..
Huwezi kuweka vielelezo vyote mitandaoni kuwafurahisha wachangiaji mitandaoni.
Wewe huijui Biblia kabisa.Watu wa dini wakiamua kung'ang'ania imani zao za kijinga huwezi kuwabadilisha.
Kwa mujibu wa Biblia, Yesu aliwaambia watu enzi zake kwamba hawataionja mauti kabla ya yeye kurudi mara ya pili.
Watu wakaacha kulima, wakijua Yesu atarudi tena kabla hawajafa, ya nini kulima?
Mpaka leo wamekufa maelfu na maelfu ya vizazi, miaka zaidi ya 2,000, na Yesu bado hajarudi mara ya pili.
Na bado watu wanamuamini Yesu.
Sasa wewe unaona hao ndio watu wa kubishana nao kwa logic wakakuelewa?
Wakishaamua kula mavi watakula mavi tu, piga ua galagaza.
Watakwambia hii chocolate, si mavi.
Na ingekuwa kipindupindu wanapata wenyewe tu, tungewaacha wale mavi wafe.
Tatizo wanatuambukiza.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Wewe huijui Biblia kabisa.
Yesu alisharudi mara ya pili kitambo.
Alikufa akaenda Mbinguni akarudi tena na kuwaambia wanafunzi wake wahubiri injiri ulimwenguni kote.
Akirudi tena itakuwa mara ya tatu
Mara ya kwanza alikuja akipitia tumboni kwa Mariamu mamaye
(Sio Maria tafadhari)
Mala ya pili alirudi kupitia Kaburini aliko zikwa.
Siku aliyofufuka (huna akili kabisa)
Mala ya tatu atakuja kama alivyo paa Mbinguni.
Waislamu someni Qurani Yenu. Kamwe hamta ielewa Biblia
Biblia haisomwi kwa uwezo wa Majini.
Biblia inasomwa kwa nguvu za Roho Mtakatifu.
Muhammadi kafariki muda mrefu na amesha oza.
Ungejikita kujibu hoja matusi hayafaiWewe huijui Biblia kabisa.
Yesu alisharudi mara ya pili kitambo.
Alikufa akaenda Mbinguni akarudi tena na kuwaambia wanafunzi wake wahubiri injiri ulimwenguni kote.
Akirudi tena itakuwa mara ya tatu
Mara ya kwanza alikuja akipitia tumboni kwa Mariamu mamaye
(Sio Maria tafadhari)
Mala ya pili alirudi kupitia Kaburini aliko zikwa.
Siku aliyofufuka (huna akili kabisa)
Mala ya tatu atakuja kama alivyo paa Mbinguni.
Waislamu someni Qurani Yenu. Kamwe hamta ielewa Biblia
Biblia haisomwi kwa uwezo wa Majini.
Biblia inasomwa kwa nguvu za Roho Mtakatifu.
Muhammadi kafariki muda mrefu na amesha oza.
Sababu hawapati faraja nyumbaniItasaidia watu wasitapeliwe zaidi , hasa Wanawake ambao kimaumbile huamnini haraka mazingaombwe kama yale ya Kawe
Umejuaje mimi Muislamu?Wewe huijui Biblia kabisa.
Yesu alisharudi mara ya pili kitambo.
Alikufa akaenda Mbinguni akarudi tena na kuwaambia wanafunzi wake wahubiri injiri ulimwenguni kote.
Akirudi tena itakuwa mara ya tatu
Mara ya kwanza alikuja akipitia tumboni kwa Mariamu mamaye
(Sio Maria tafadhari)
Mala ya pili alirudi kupitia Kaburini aliko zikwa.
Siku aliyofufuka (huna akili kabisa)
Mala ya tatu atakuja kama alivyo paa Mbinguni.
Waislamu someni Qurani Yenu. Kamwe hamta ielewa Biblia
Biblia haisomwi kwa uwezo wa Majini.
Biblia inasomwa kwa nguvu za Roho Mtakatifu.
Muhammadi kafariki muda mrefu na amesha oza.
Hawana hio video,wangekua nayo wangeshaitoa kitambo sanaItoke pengine itasaidia ng'ombe nyingi zinazoamini na kunyenyekea hawa manabii
Mathayo (Mat) 18:5Ungejikita kujibu hoja matusi hayafai
Hawana hio video,toka waanze kusema watatoa hakuna cha ziada zaidi ya maelezo tuWafanye haraka