Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mwonaji wa vipi hem ongezea nyama hapa mkuuukwa mjibu wa biblia nabii ni mwonaji, manabii walikuwa kuwepo na mpaka sasa wapo, mimi kwa imani yangu ya Kikristo yule alikuwa prophet, nyie kama mngeishi enzi za Yesu au Mhamad mngeshiriki kuwaua kuwa ni manabii fake. BBC hawana uhalali wa kujadili mambo ya Mungu.
Bbc si wameongelea suala la jamaa kunajisi watu ama sijaelewa
Ila kumbe kwenye ukristo manabii mpaka leo bado wapo