BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

BBC: Marekani ilijua kuwa mkuu wa Wagner alikuwa akipanga kuchukua hatua kabla ya uasi wake

Dollar imekua si lolote si chochote zaidi ya karatasi iliyoaminiwa.

Cia wapo wapi?
Ficha ujinga wako, usidhani umeongea nondo sana.
Pesa zote duniani ni fiat money na sio chochote zaidi ya makaratasi yalioaminiwa.
Tofauti ni kiwango cha kuaminiwa kwa dola kipo juu zaidi duniani kuliko pesa nyingine.
 
marekani anataka kuchukua point bila kazi yeyote. aseme tu hakujua lolote. kama alijua mbona hakutoa taarifa?
Jiongeze, ukimuona adui yako anafanya makosa au anaenda kutumbukia shimoni utamshitua ??. Wagner na Serikali ya Putin wote ni adui ya West, jambo la manufaa kwa West ni wao kuvurugana na kutwangana.
 
Marekani anawadanganya sana Watoto. Mbona alishindwa kujua kwamba Osama atatuma Makombora kwake??

Actualy alijua, tofauti wkt uoe hawaku act on time. Ni moja ya uzembe ambao wanajilaumu mpaka leo
 
Unajua mwizi atakuvamia usiku afu bado unalala? Kamdanganye mtoto mzee sisi watu wazima humu ndani.

Labda kama ufualitilii, mwaka 2000, Fbi ilikuwa ikufuatilia washukiwa Khalid Al-Mihdhar and Nawaf Al-Hazmi (ambao by then hawakujua nia yao ya kuja us ni nini na hawakujua kama hao ndio watakuwa watekaj wa ndege)

Fbi hawaku share hizo habari na cia kwa wakati. By then fbi na cia kila shirika lilikuwa linakusanya taarifa kivyake na kushare ilikuwa under order maalumu.

Baada ya tukio la 9/11 ndio walichange policy

Hizi report ziko document na zimewekwa online na tovuti ya serikal america, sio story
It was intelligence failure
 
Wavamie urusi kwa kosa gan ? Urusi kaivamia nchi shiriki ya NATO? Mbona kama hujui nn maana ya NATO
Sasa kwanini wanapiga kelele kila siku na wanaipa silaha na logistics Ukraine dhidi ya Russia kama hawaoni Russia ana Makosa kuivamia Ukraine??? ..Libya ilivamia nchi gani ya NATO????.....Yugoslavia ilivamia nchi gani ya NATO???? ....
 
"Vita ya Ukrein inakwande vibaya Kwa Wagner na wanajeshi wakawaida"..ukisoma hii sentence unagundua kabisa kuwa hawakua na taarifa zozote bali ni propaganda Kwa kujifanya wanafahamu Kila kitu.

Jambo lakujiuliza ni je?.

Kati ya Wagner na wanajeshi wa urusi dhidi ya wanajeshi wa ukrein ninani kati yao vita/SMO inawaendea vibaya?. Jibu lake Kila mwenye ufahamu na akili timamu analifahamu.
nafikiri tathmin hii ililenga zaidi kuainisha uhusiano au hali ilivyo kati ya Urusi na Wegner, naona kama haihusishi Ukrain
 
Hivi saa 48 za kuisambaratisha Ukraine bado tu? Mlitwambia warusi wa buza tusiwe na shaka, Ukraine itapigwa ndani ya saa 48, vipi huko.
Warusi wa Buza wanatakiwa kukaa kimya sasa, warusi wa Moscow sasa wanatafuta exit
 
Hayo maasi yameanika udhaifu wa Russia na kuifanya ionekane kwamba haina tofauti na hizi "Shithole Countries" zetu. Russia bure kabisa ni wazungu rangi tu lakini tabia ni za kiswahili sana.
unaongea kwa uchungu sana,itakuwa umeumia sana kwa kilichotokea!
 
Aliyekudanganya ni nani? Nawewe umeingia kwenye mtego wa kuwaamini US kwamba Kremlin ilikuwa haijui? Hivi watu wanaopigwa risasi kila uchao huko USA wanakuaga wapi kujua kabla? Mbona nyambizi Titan tangu ipate ajali hawakuipata na ipo hukohuko? Mdogo wangu hii ni dunia kuwa makini kabla hujaliwa kichwa! Najua mlifurahi mkiamini sasa Putin anatolewa ikulu sijui mnamuogopea nini huyu jamaa na kwa taarifa yenu kichapo kipo palepale mlikuwa mnapigwa akili na wenye akili na mmedhihirisha kuwa hamnazo ndo maana hata mkubwa mnaemwamini nae kaingizwa chaka
Chuki zenu dhidi ya USA ni za kijinga
 
Ficha ujinga wako, usidhani umeongea nondo sana.
Pesa zote duniani ni fiat money na sio chochote zaidi ya makaratasi yalioaminiwa.
Tofauti ni kiwango cha kuaminiwa kwa dola kipo juu zaidi duniani kuliko pesa nyingine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230430-113713.jpg
 
Hayo maasi yameanika udhaifu wa Russia na kuifanya ionekane kwamba haina tofauti na hizi "Shithole Countries" zetu. Russia bure kabisa ni wazungu rangi tu lakini tabia ni za kiswahili sana.
Yuko dhaifu sana na amekimbia nchi akawaachia amumluki wake wajidai mitaani
 
Back
Top Bottom