BBC: Meli ya kivita ya Urusi yalipuliwa

Putin anazidi kuaibika! Mpaka sasa ameshapoteza askari zaidi ya askari elfu 10 ikiwemo majenerali zaidi ya watano.
Kweli mdharau mwiba mguu huota tende
Ni sahihi kabsa Ila kwa upande mmoja wa sarafu tugeuze upande wa pili wa sarafu tutapata ukweli wote
 
Kwahiyo mkuu ulitaka urusi isipoteze hata silaha yake moja.Hiyo ukraine sio dhaifu kivita kama mnavyoaminishwa na propaganda za western ili tuwaonee huruma.Ukraine wa jeshi imara na wananchi wana mshikamano kwahiyo sio vita ndogo hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…