BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

Alishasema kuwa alijaribu tu kuomba urais wakamsokomezea huko
 
Well said!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la kuleta siasa kwenye kila jambo?
Kujifukiza dawa za asili ni jambo geni?

Vipi kuhusu sauna bath?
Akili zenu mmehamishia kwenye ushabiki Wa ccm na chadema hata mnatia kinyaa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sauna bath inatibu corona? Sauna bath Ina mvuke wa joto linalozidi 100°C? Source ya hii habari inayojadiliwa ni BBC, nao wana ushabiki wa ccm na CHADEMA?
 
Aisee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zama za media za UK na USA kuwa sources za truth zimeisha

It is absurd kuona BBC anaquote 2 Facebook posts kuhusu blue masks na kufanya hizo posts ziwe representative wa zaidi ya watu bilioni moja Africa

Mbaya zaidi wanaquote kujifukiza kama pia the Africa issues/misconception... Tumejifukiza for decades, na hatujifukizi Kwa mvuke wa maji Tu Bali kuna volatile oils, chemicals na other therapeutic ingredients kwenye hot steam

It's laughable Kwamba BBC wanahangaika na Sisi wakati kwao hakujapoa
 
Wazungu wakomae na mambo Yao sasa
 
Sauna bath inatibu corona? Sauna bath Ina mvuke wa joto linalozidi 100°C?
Corona haina dawa iliyothibitishwa mpaka sasa, kila watu wanajaribu kutibu dalili kwa njia mbalimbali, mafua, kikohozi, pneumonia na mengineyo hutibiwa accordingly,
Mvuke wa mixed plant umekuwa tiba ya maradhi ya njia ya hewa kama mafua miaka mingi, sauna bath pia.

Hao WHO wamekuja na mbadala gani wakati huu watu wanapukutika ulimwenguni? Wawache watu wapambanie uhai kwa namna mbalimbali wao wafanye uchunguzi Wa kitabibu sio kubeza tu kama wanavofanya.
Madagascar amewaambia anayo dawa, wameichunguza au wameikataa tu? Wanataka dunia isubiri dawa ikitajwa na mzungu pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa kujifukiza kunaua basi wengi wetu tungeshakufa tangu utoto.

Mwenye akili pekee atanielewa.
 
Namba 1 wanahitaji kupata details za kina wajue uhalisia Wa hiyo kujifukiza
Kama wako sahihi meaning Mimi na familia yangu tunaishi ni marehemu, maana miaka yote tunajitibia magonjwa ya njia ya hewa kwa kujifukiza mchanganyiko Wa chakula dawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nitoe kwenye huo upumbavu wako wa Misukule ya Lumumba sijui uchafu gani, mimi sipo kwenye siasa yoyote, ila alichoshauri Rais ni sahihi sababu binafsi ni muumini wa mvuke so najua tiba ya mvuke,

Kuhusu stay home naona inakufikirisha sana, hii ni argument sasa? Kama huna la ulazima huko nje unaenda kufanya nini? Kaa ndani kwako ucheke na familia yako,

BTW, nipo kwenye lockdown mwezi sasa, na hii stay home ndio tunasisitiziana kuzuia maambukizi,

Sasa punguza jazba ukajua kila mtu yupo kwenye mtazamo wa kisiasa.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Also, water vapour rising from a boiling pan would be quickly cooled as it enters the body and not be hot enough to have an effect against the virus.


A pure fact, I wonder why a Phd holder of science can't understand this.!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…