Walichoandika, wao ni primary source au wametumia reference?! It stopped to be absurd, and something to ignore a moment Rais kutoka nchi ambayo watu wake wengi wana uelewa mdogo, alipoongea hadharani almost kitu kile kile kwamba baadhi ya barakoa zina coronavirus!! Btw, hivi unapuuza vipi post iliyokuwa shared karibu mara 40K?
Hiyo ya kuwa ni African issue/misconception umeisema wewe, walichosema wao ni:-Mnashangaza sana mnaposhabikia kauli kama hizo, na hamtaki kuona watu wanaweka kumbukumbu sawa Hiyo miaka yote mlikuwa mnajifukisha ili kutibu au kuua coronavirus kama alivyodanganya Magufuli kwamba kujifukisha kunaua virus?!
Maajabu haya... yaani hutaki watu kuweka rekodi sahihi eti kisa na "kwao" yamewashinda?!