BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

Whites wanatamani sana kusikia vifo 5,000+ kila siku toka mataifa mbalimbali ya kiafrika, huku wakiongozwa na wafia mabeberu. They're all doomed coz tutajifukiza, tutakunywa hadi mwarobaini, tangawizi, maliamo nk na we'll be safe.

Waliproject maambuki zaidi ya 500k mwisho wa mwezi huu. They're just imbeciles + hao wafia mabeberu.
Fia beberu mojawapo linaitwa sky eclact....
lenyewe ni buruza twende.....
kazi yake ni kufifisha jitahada za mtu mweusi...
 
Wasingefanya chochote wangepukutika mamilioni wacha siasa.
Hvyo walivyovifanya na wanaisha mpaka wazir mkuu wa iltaly ana wanamuachia mungu TU,

Kama wao Wana kila kitu lakin wameprove fail katika technology zao sembuse sis dunia ya tatu ambapo kila kitu tunategemea kwao

Kuwa muelewa jikinge na familia yako na wengne wanao kuzunguka acha ujinga wa kufuatulia propaganda za vyombo vya kimagharib

kilicho akilini kitumie
 
Kama nchi za Asia zingekuwa na watu wenye akili kama za waafrika wengi walivyo sidhani kama zingepiga hatua za kimaendeleo. Ndiyo maana hatupigi hatua yoyote kubwa ya maendeleo kwa sababu tulishaaminishwa kwamba kila kitu kizuri kinatoka ulaya na hivyo sisi waafrika ni kupokea tu kila kitu hatuhangaishi vichwa vyetu katika kubuni na hata kupambana na matatizo mbali mbali yanayolikabili bara la africa. At least Asians walijitambua mapema na kuchukua hatua leo wanaenjoy juhudi zao na hawamtegemei mzungu kwa kila kitu kama huku kwetu africa.
 
Look at him... sawa na wapiga makofi wengine, mkiulizwa swali kwa hoja mlizoleta wenyewe mnashindwa kujibu na badala yake mnakimbilia shombo na matusi!!

Unaletea habari za Western Media Roles wakati nimekuuliza utaje propaganda iliyo kwenye taarifa hiyo ya BBC?!

In short, HUNA HOJA wala JIBU na wala hutakaa uwe na jibu kwa sababu you're ni "shabiki hoya hoya"! Mnadai mmekuwa mkijifukisha miaka yote hii lakini mnayasema hayo baada ya Magufuli kuleta hoja ya kujifukisha!!!
Wow

Puppet on a string
 
Kwahiyo ukiwa mvuke wa madawa ndo unaamini poa tu to inhale at 100 degree centigrades? Yaani baada ya kusoma mwanzo hadi mwisho ukaona issue hapo ni maji badala ya huo ukiwa na joto kali kiasi hicho!!!
Duh, yaani sijui nianzie wapi kukuelimisha? Lakini kabla ya hayo naomba mtafute babu yako wa kijijini mwulize kufukiza ilikuwa ni moja ya tiba Yao? Jibu utakalopata litakupa mwanga mkubwa badala ya kuwa mamluki wa JF
 
Duh, yaani sijui nianzie wapi kukuelimisha? Lakini kabla ya hayo naomba mtafute babu yako wa kijijini mwulize kufukiza ilikuwa ni moja ya tiba Yao? Jibu utakalopata litakupa mwanga mkubwa badala ya kuwa mamluki wa JF
Babu yangu hakuwahi kuumwa coronavirus kwahiyo hawezi kuwa na jibu na akitoa jibu atakuwa mwongo tu sawa na JPM aliyesema kujifukisha na mvuke ni tiba ya kuua coronavirus!.

That's one but second hivi kwanini mna-assume kila babu na bibi lazima awe anaishi kijijini!

Anyway, babu yangu tumeshamzika na bibi yangu ingawaje ni mzee sana, bado yupo Mikoroshini ingawaje hawezi kuwa na jibu cuz' hajawahi kuumwa corona
 
Coronavirus: What misinformation has spread in Africa?

African countries are experiencing a rise in the number of new coronavirus cases, and many governments have been enforcing strict social distancing measures.

As they prepare for a surge in cases, misleading information has been spreading throughout the continent.

1. Inhaling very hot steam is dangerous

The false claim that inhaling steam is an effective treatment against coronavirus has surfaced once again, this time in Tanzania with an endorsement by its president.

As part of an appeal to put more emphasis on traditional cures, President John Magufuli has said inhaling steam kills off viruses in the nose and the mouth.

Mr Magufuli suggested that high temperatures would work against the virus during remarks about the best strategy to tackle the coronavirus crisis.

But although high temperature steam treatment is used for industrial cleaning in places such as hospitals, inhaling it at these temperatures would be extremely dangerous to the human body, according to Keith Neal, a specialist in the spread of infectious diseases at the University of Nottingham in the UK.

He points out that if steam that hot got inside your body in attempt to kill the virus, your lungs would also be irreparably damaged.

Also, water vapour rising from a boiling pan would be quickly cooled as it enters the body and not be hot enough to have an effect against the virus.

The World Health Organization (WHO) has warned against taking very hot baths to stop the virus, saying this could burn you.

2. Chinese-owned businesses in Nigeria were not attacked

As reports about Africans facing discrimination in China have emerged , some people have started spreading fake videos, claiming they show people retaliating against the Chinese community in Africa.

A case in point is a video said to show a Chinese-owned business on fire in Nigeria.

The images actually show shops on fire at a popular market area in Ibadan in south-west Nigeria this month.

The Punch newspaper in Nigeria reported on the fire and refers to Nigerian traders with no mention of Chinese businesses .

The video which has been viewed more than a million times was later pulled by Twitter because they said "it violated Twitter rules".

3. Consuming alcohol does not protect against Covid-19

The governor of Kenya's capital, Nairobi, has been criticised for misleading remarks about alcohol and the coronavirus.

Governor Mike Sonko was explaining why he is including bottles of Hennessy cognac in food supplies for vulnerable people in the city, saying it would serve as a "throat sanitiser".

"From the research which has been conducted by World Health Organization (WHO) and various health organisations it has been revealed that alcohol plays a very major role in killing the coronavirus, or any sort of virus," he said.

He appears to have misinterpreted WHO health advice. It says drinking alcohol does not protect you against the coronavirus, but it does refer to the efficacy of alcohol-based gel to clean your hands.

The WHO advice adds that alcohol consumption "is likely to increase the health risks if a person becomes infected with the virus".

Hennessy, the manufacturers of Hennessy cognac, have also cautioned Kenyans against consuming alcohol with the belief that it will offer protection.

4. Blue facemasks are not contaminated

Two posts on Facebook, which have been urging Africans not to wear blue face masks amid claims they are contaminated with toxins, have been widely shared.

The first post claims to be quoting Amazon founder Jeff Bezos and a supposed scheme to distribute contaminated masks.

"Dear Africans, avoid wearing the blue masks that are made in America and Europe because these masks contain suicidal toxic [sic]" the post reads. It doesn't explain what toxins they are supposed to contain.

Amazon says the quotes have been fabricated.

A post on another page - this time falsely quoting the head of the World Health Organization - also urges people not to wear blue masks.

Mary Stephen, from the WHO regional office for Africa, told the BBC the organisation hasn't received any reports of contaminated masks.

"Countries are sourcing their masks from different sources, and we are not aware of any contamination," she says.
Watuache mbona Trump ametaka watu wachomwe detol injection kama tiba ya Corona
 
Back
Top Bottom