BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

Tupe scientific explanation ya ni vipi Corona virus anakuwa treated kwa mvuke wa majani.

Tafadhali eleza na contents zilizomo na biochemistry ya kumdhuru huyo mdudu.

Usiache kutupa mifano hai ya waliopona Corona kwa tiba hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamuulize hayo mwalimu wako,

Sie tunajifukiza yetu yanatuendea nyie endeleeni kubweka kwenye mitandao kama mbwa koko tu.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Hujajibu swali nililokuuliza, unarukia maswali ya wengine!!! Jibu kwanza nililokuuliza, kisha ndo tuje kwenye hilo swali lako!!!
Kamuulize hayo mwalimu wako,

Sie tunajifukiza yetu yanatuendea nyie endeleeni kubweka kwenye mitandao kama mbwa koko tu.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Kama sio Corona imekuingia kichwani basi minyoo inakuchoma tumboni,

Hapo ulipo hujawahi hata kumshuhudia mgonjwa wa Corona virus anakuaje,

You sound pathetic and fool.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Naona unaanza matusi badala ya kujibu... acha kujifanya unaweza shari kima wewe!!
 
Kamuulize hayo mwalimu wako,

Sie tunajifukiza yetu yanatuendea nyie endeleeni kubweka kwenye mitandao kama mbwa koko tu.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Huna jibu, ndo maana umeamua kukimbilia matusi!!!
 
'As they prepare for a surge in cases, misleading information has been spreading throughout the continent.'

Haya majamaa huwa yanalala yanaiombea mabaya Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamuulize hayo mwalimu wako,

Sie tunajifukiza yetu yanatuendea nyie endeleeni kubweka kwenye mitandao kama mbwa koko tu.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Nimegundua huwezi mijadala, kichwa kinapata moto haraka sana.

Sasa hata kujua waliopona Covid-19 kwa mvuke wa miti shamba nikamuulize mwalimu wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe scientific explanation ya ni vipi Corona virus anakuwa treated kwa mvuke wa majani.

Tafadhali eleza na contents zilizomo na biochemistry ya kumdhuru huyo mdudu.

Usiache kutupa mifano hai ya waliopona Corona kwa tiba hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana ubavu wa kukujibu huyo... nimemuuliza swali la kawaida sana, tena kwa hoja aliyoanzisha mwenyewe! Badala ya kujibu, anakimbilia matusi; kujifanya kapinda!!
 
Unaweza kuitaja propaganda ya BBC hapo ni ipi?!

To keep records straight, Britanica wanaeleza propaganda kuwa:-
Don't waste my time.... Genre are enough literature out there na nyingine ziko Google kuhusu western media role kwenye propaganda na advancement ya agenda zao

If you are smart unaweza pia kusoma story za vaccines na many studies

We too many journals now and some hauhitaji kulipia

Sina muda WA kubishana na puppets
 
Kamuulize hayo mwalimu wako,

Sie tunajifukiza yetu yanatuendea nyie endeleeni kubweka kwenye mitandao kama mbwa koko tu.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Hili sio jibu

Kupona Covid hakuletwi na dawa yoyote... Covid haina tiba

Ni.mwili wenyewe unapokua na uwezo wa kupambana na virus.... Hivi vingine ni facilitators Tu wa kusaidia mwili kuwa ready for the battle
 
Kuna wazungu Fulani na waimba mapambio walikuwa wanasema wiki mbili zijazo hali itatisha

Leo ni ijumaa lakini tunadunda tu kama kawaida wiki ya pili inaisha wagonjwa hata 1000 hawajafika
.
Kuna Mrs Billgate yeye aliongea kuwa tutakuwa tunaokota maiti mitaani lakini wiki ya pili inaisha hali iko kawaida.
Hao Bbc washenzi tu maana hawana jipya zaidi ya kutaka Waafrika tufe kama takataka tuokotwe na walivyo na akili finyu walifikiri tutaendelea kuwaza upuuzi wao. Sasa Afrika hii siyo ile.

Wanajitaidi kutupumbuza tuzarau vyetu ili watuuzie dawa na waje kwenye chanjo. Looh baridi kali ulaya hiyooo watakufa kama kuku wakideli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo maza inabidi apigwe mtungo hiyo kazi tunampa Nguseroh/aka John stephano na wauni wenzie wachache....
 
Hana ubavu wa kukujibu huyo... nimemuuliza swali la kawaida sana, tena kwa hoja aliyoanzisha mwenyewe! Badala ya kujibu, anakimbilia matusi; kujifanya kapinda!!
Weeee sijakutukana mimi, wewe kaka mbona kama umechizika? Ndio upo hivi siku zote au hii mada imekushika kalio, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tangu jana nakwambia tuliza munkari ukiwa kwenye mijadala maana unajidhalilisha tu.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Wasingefanya chochote wangepukutika mamilioni wacha siasa.
Tatizo ni kwamba baadhi yetu tunaamini Kwamba their approach is hold standard... Which is not

Covid has caught everyone by a surprise, ndio maana kila siku runapokea miongozo mipya ya kupambana nayo

Ukiappeoach Covid kiugonjwa-ugonjwa itakua jamii na kudumaza nchi

As we debate here, hakuna single model ya vita shidi ya Covid which has prove to be the best solution.... Context plays a big role
 
Don't waste my time.... Genre are enough literature out there na nyingine ziko Google kuhusu western media role kwenye propaganda na advancement ya agenda zao

If you are smart unaweza pia kusoma story za vaccines na many studies

We too many journals now and some hauhitaji kulipia

Sina muda WA kubishana na puppets
Look at him... sawa na wapiga makofi wengine, mkiulizwa swali kwa hoja mlizoleta wenyewe mnashindwa kujibu na badala yake mnakimbilia shombo na matusi!!

Unaletea habari za Western Media Roles wakati nimekuuliza utaje propaganda iliyo kwenye taarifa hiyo ya BBC?!

In short, HUNA HOJA wala JIBU na wala hutakaa uwe na jibu kwa sababu you're ni "shabiki hoya hoya"! Mnadai mmekuwa mkijifukisha miaka yote hii lakini mnayasema hayo baada ya Magufuli kuleta hoja ya kujifukisha!!!
 
Weeee sijakutukana mimi, wewe kaka mbona kama umechizika? Ndio upo hivi siku zote au hii mada imekushika kalio, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tangu jana nakwambia tuliza munkari ukiwa kwenye mijadala maana unajidhalilisha tu.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Of course, ku-argue na mtu hopeless kama wewe ni kujidhalilisha, so consider you're finally being ignored for good!
 
Tatizo ni kwamba baadhi yetu tunaamini Kwamba their approach is hold standard... Which is not

Covid has caught everyone by a surprise, ndio maana kila siku runapokea miongozo mipya ya kupambana nayo

Ukiappeoach Covid kiugonjwa-ugonjwa itakua jamii na kudumaza nchi

As we debate here, hakuna single model ya vita shidi ya Covid which has prove to be the best solution.... Context plays a big role
Mkuu narudia tena, wasingefanya lolote kama sisi, wangekufa kwa malaki na mamilioni.
 
Back
Top Bottom