BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

Nilipoona hiyo “As they prepare for a surge in cases..” nikabaki nacheka tu, yaana wamekaa wanaminya makende wakisubiri kwa shauku kubwa kuona number of case ls zikionhezeka kwa kasi? Hahahahah...!!!!
Scentific predictions hizo. Ni kama vile ukiona mlevi anaendesha gari kwa speed ya 160 km/hr kutoka Posta kwenda Airport unaweza kupredict ajali bila kuminya makende.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujifukiza mvuke mwilini na kuvuta mvuke wa moto kwenye mapafu we unaona ni vitu vinavyofanana? Mkipewa maneno machafu mtakasirika, maana hao wazungu wameyapotosha hayo maneno out of context kwa makusudi kabisa ili kumfanya Rais wetu aonekana mjinga mbele ya jamii ya kimataifa (wanam-ridicule) maliciously, na wewe unaingia kichwa kichwa tu bila kusima netween the lines, akili zenu huwa mnazificha wapi kabla ya kuja jukwaani?
Pia wamesema mvuke ukifika kwenye mwili unapoa na unakua ineffective kumuua Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walichoandika, wao ni primary source au wametumia reference?! It stopped to be absurd, and something to ignore a moment Rais kutoka nchi ambayo watu wake wengi wana uelewa mdogo, alipoongea hadharani almost kitu kile kile kwamba baadhi ya barakoa zina coronavirus!! Btw, hivi unapuuza vipi post iliyokuwa shared karibu mara 40K?

Hiyo ya kuwa ni African issue/misconception umeisema wewe, walichosema wao ni:-Mnashangaza sana mnaposhabikia kauli kama hizo, na hamtaki kuona watu wanaweka kumbukumbu sawa Hiyo miaka yote mlikuwa mnajifukisha ili kutibu au kuua coronavirus kama alivyodanganya Magufuli kwamba kujifukisha kunaua virus?!
Maajabu haya... yaani hutaki watu kuweka rekodi sahihi eti kisa na "kwao" yamewashinda?!
Ikiuma sema

Demeaning our culture helps no one

BBC propaganda is failing so is the mainstream media which was naturally designed to spread agenda za wakubwa

Watuache
 
Ikiuma sema

Demeaning our culture helps no one

BBC propaganda is failing so is the mainstream media which was naturally designed to spread agenda za wakubwa

Watuache
Unaweza kuitaja propaganda ya BBC hapo ni ipi?!

To keep records straight, Britanica wanaeleza propaganda kuwa:-
Propaganda, dissemination of information—facts, arguments, rumours, half-truths, or lies—to influence public opinion.
 
Trump yeye kasema ifanyike research kuona kama kumuinject mtu (kuchoma sindano) yenye disinfectant (dettol, sanitizer) kunaweza kusaidia kutibu corona😜😎. Huyu hakawii kushauri tunywe 100ml of dettol 2x3 kwa siku 7

Yaleyale ya kujifukiza ili kuua virus aliyekimbilia ndani ya cells
Mbona muanzisha mada haja-msaport na kumpigia makofi? Atoe comment na hapo!!
 
Kwanza nitoe kwenye huo upumbavu wako wa Misukule ya Lumumba sijui uchafu gani, mimi sipo kwenye siasa yoyote, ila alichoshauri Rais ni sahihi sababu binafsi ni muumini wa mvuke so najua tiba ya mvuke,

Kuhusu stay home naona inakufikirisha sana, hii ni argument sasa? Kama huna la ulazima huko nje unaenda kufanya nini? Kaa ndani kwako ucheke na familia yako,

BTW, nipo kwenye lockdown mwezi sasa, na hii stay home ndio tunasisitiziana kuzuia maambukizi,

Sasa punguza jazba ukajua kila mtu yupo kwenye mtazamo wa kisiasa.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Tupe scientific explanation ya ni vipi Corona virus anakuwa treated kwa mvuke wa majani.

Tafadhali eleza na contents zilizomo na biochemistry ya kumdhuru huyo mdudu.

Usiache kutupa mifano hai ya waliopona Corona kwa tiba hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TOO LOW... eti hatred! Yaani nina chuki kisa nimegoma kutetea na kushabikia ujinga?!

Again, hiyo toka zamani mliyokuwa mnajifukisha mvuke, mlikuwa mnafanya hivyo ili kuua coronavirus?!

Swali lipo straightforward... unaruka ruka nini badala ya kujibu?!
Kwani Mafua ni Bacteria au Virus, tuanzia hapa kwanza

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Magu kuna vitu vingine inabidi tumpuzie tu lakini na swali kwa BBC huko UK wamekufa wangapi?
Niliandika kama 3 weeks ago hili janga hamna mtu mwenye suluhisho kwasasa hadi dawa na chanjo zipatikane.
Wewe, Magu na BBC wote hamna majibu.
Idadi ya vifo UK vipo kwenye site ya WHO, acha uvivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu swali boya wewe!!! Eti nimeacha mada!! Nimeacha mada au umeshindwa kutetea ujinga ulioandika?! NI nani aliyeandika hii post hapa chini:-
How come useme nimeacha mada wakati hapo umeandika mwenyewe, na nilichokuuliza kinahusiana na ulichoandika!! Kama hadi hapo hujajua kwamba wewe ndo mjinga basi utakuwa mpumbavu!
Kama sio Corona imekuingia kichwani basi minyoo inakuchoma tumboni,

Hapo ulipo hujawahi hata kumshuhudia mgonjwa wa Corona virus anakuaje,

You sound pathetic and fool.

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Kwani Mafua ni Bacteria au Virus, tuanzia hapa kwanza

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Hujajibu swali nililokuuliza, unarukia maswali ya wengine!!! Jibu kwanza nililokuuliza, kisha ndo tuje kwenye hilo swali lako!!!
 
Back
Top Bottom