BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

Many will be said...

Cha muhimu tunza afya yako...

Once you get affected you get isolated and damped and no one cares...



Cc: mahondaw

Treat corona symptoms at home unless other wise you need oxygen or symptoms has turn into sepsis
 
Tumsikilize nani rais wetu au BBC?

Tumsikilize Rais tu maana sio kila alisemalo Mzungu ni la ukweli. Na kama insue hpa ni mvuke kuleta madhara kwenye mwili kwa nini walituletea mambo ya Sauna? Hko nako si ni kujifukiza au kwa sababu imekaa kizungu ndo maana inaonekana haina madhara!
 
Write your reply...any way all in all hii pandemic imekuwa a lifetime opportunity kwa Mimi muuza barakoa na sanitizer kwa ujumla
 
Mkuu, wewe ni nani kakukataza kushirikisha ubongo wako? Are you dumb by nature?
 
Ukosefu wa maarifa umekutawala. Kuvukiza sio kunywa. Ni sauna bath.
 
Ukosefu wa maarifa umekutawala. Kuvukiza sio kunywa. Ni sauna bath.
Ndo wafuasi wa Jiwe hawa; no wonder huwa mnaunga mkono kila kitu manake hata mambo madogo yanawashinda!!

Yaani kwa akili yako, "ku-inhale" ni kunywa sio?!
 
Kwanza nitoe kwenye huo upumbavu wako wa Misukule ya Lumumba sijui uchafu gani, mimi sipo kwenye siasa yoyote, ila alichoshauri Rais ni sahihi sababu binafsi ni muumini wa mvuke so najua tiba ya mvuke,
Upumbavu ni huo wa kwako!!
Jibu swali la msingi! Wewe umedai wanaofuata maelekezo ya Kisayansi wanapelekeshwa na Wazungu na kuiga kama nyumbu:- Hapo hapo kila post unasisitiza "Stay at Home"

Again, hiyo "Stay at Home" unayoisisitiza mara kwa mara na yenyewe ni njia ya Kiafrika?! Au kwavile Wazungu wamesema "Stay at Home" na wewe umeamua kukazana kila wakati "Stay at Home" kama nyumbu vile?!
 
Thanx sana Culture me!!
 
Magu kuna vitu vingine inabidi tumpuzie tu lakini na swali kwa BBC huko UK wamekufa wangapi?
Niliandika kama 3 weeks ago hili janga hamna mtu mwenye suluhisho kwasasa hadi dawa na chanjo zipatikane.
Wewe, Magu na BBC wote hamna majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…