johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hamas alianzisha vurugu 7 October kwa lengo la kuokoa Wafungwa waliojazana magereza ya Israel by thenThese are the Palestinian “prisoners” being exchanged for Israeli hostages. They are also children. Children who were stolen from their homes. Children who just want to hug their mothers. These are the boys who the media won’t even afford the dignity of being called children.
Magaidi ya hamasi na wanaowaunga mkono wote ni magaidi na lazima yasambaratishwe, ili yakapewe mabikra 72 na mito ya pombe chap chap. Toto la gaidi ni gaidi lifuasi la gaidi ni gaidiWanaukumbi.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, mateka.
Inavyoonekana, ni wakoloni wakatili wa Ulaya, pekee walio na watoto, na Waisraeli pekee ndio wanaoweza kutazamwa kama mateka.
Hawa ni "wafungwa" wa Kipalestina wanaobadilishwa na mateka wa Israeli. Wao pia ni watoto. Watoto walichukuliwa majumbani mwao. Watoto ambao wanataka tu kukumbatia mama zao. Hawa ndiyo wavulana ambao vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani hata heshima ya kuitwa watoto hawawezi kusema watoto hizi ndiyo propaganda za magharibi bahati nzuri sasa hivi kuna vyombo vya habari vingi dunia inaona
=========================
The BBC refuses to call Palestinian children, children.
The BBC refuses to call Palestinian children, hostages.
Apparently, only the brutal European colonizers have children, and only Israelis can be viewed as hostages.
These are the Palestinian “prisoners” being exchanged for Israeli hostages. They are also children. Children who were stolen from their homes. Children who just want to hug their mothers. These are the boys who the media won’t even afford the dignity of being called children.
Hata historia ya Palestina na Israel hufahamu umeuanza kufahamu Oct 7 kupitia JF jiuulize hao wafungwa waliokaa miaka zaidi ya 10 ilikuaje? Wewe endelea na ushabiki mandazi JF.Hamas alianzisha vurugu 7 October kwa lengo la kuokoa Wafungwa waliojazana magereza ya Israel by then
Lengo lake amefanikiwa Wafungwa wanaachiliwa
Maustaadh wa mchongo hapo BKT fanyeni tathmini ya alichopata na alichopoteza
Ungekuwa muislamu ungejua tofauti ya Mfungwa na MatekaHata historia ya Palestina na Israel hufahamu umeuanza kufahamu Oct 7 kupitia JF jiuulize hao wafungwa waliokaa miaka zaidi ya 10 ilikuaje? Wewe endelea na ushabiki mandazi JF.
Mkuu minimekuelewa barikiwa sana wengiwetu tuna hadithiwa baada ya hapo tukija hapa jukwaani tunatoa ushuhuda kama tunauhakika.Katibu mkuu wa baraza la umoja wa mataifa, alisema hiv haya ambayo wameyafanya Hamas pamoja na ubaya wao kuua raia na nini, sio mambo ambayo yamejitokeza tu yana historia yake, baloz wa israel umoja wa mataifa kamwambia ajiuzuru, akamtukana sana.
Kinachotokea gaza leo kina historia yake na historia yake ina zaid ya miaka sabin, inaanzia 1948, taifa la israel lilipo anzishwa kwenye ardi za waarabu, taifa la Israel limeanzishwa kwenye ardhi za Wapalestina, kwa kuwafukuza Wapalestina kwenye maeneo yao na kuwafanya wakimbizi, Misri, Lebanon, Lebanon, Jordan ambao hawakukimbia. Ambao hawakukimbia wamepelekwa Gaza na wamepelekwa ukingo wa magharibi wa mto jordan, kwa ambao hawajui Gaza ni gereza au wanasemaga ni consetration camp, kama zile za wayahud wakat wa hitler, kila kitu kinadhibitiwa na Israel, chakula, maji hayaingii bila Israel kuruhusu, na wamechukua maeneo yote ya West Bank huko sasa barabara ni kuna road block za wanajesh wa Israel hasa jaman huo si ni uonev, haya wanayofanya ISRAEL yangefanywa UKRAINE, wazungu wangeita GENOCIDE.
Majitu yanakuja hapa yanaropoka ropoka tu hawasomi historia akisimuliwa na babu yake kwamba Israeli ni taifa teule anakuja nae kusema eti teule, teule ya mavi ? Wayahudi waache uonevu , ndio hawa tunafuata dini ya mtu wao aisee me nimeanza kushtuka hizi dini hizi aisee, juz kati Papa, kaonekana na The Rothschild family anawasalimia kwa heshima zote kwa kuinama chini, usifanye mchezo na pesa masta, na hawa ni non believers yan antisemitics maana hawa jamaa ni mayahudi tena masonic walokomaa sana and they are very wealthy. Kuna kitu wazungu hawasemi kuhusu hizi dini hizi..
waliuana kwasababu ya siasa ama Ethnically deference na sio kwasababu ya kumpigania munguWorld’s Worst Genocides zote wamefanya Wakirsto lakini hamna hata moja iliitwa ya kigaidi.😂
Rwandan Massacre (1994) – Civil war broke out in Rwanda in 1990,
Armenian Genocide (1915-1923
Khmer Rouge Killing Fields in Cambodia (1976-1980)
The Holocaust (1939-1945)
. Stalin’s (1929-1953) – Though a lesser-known evil, the horror committed under Joseph Stalin’s rule of the Soviet Union claimed between 23 and 50 million lives. Examples of Stalin’s murderous outbreaks include the Great Purge
Haya mauji yote yamefanywa na Wakirsto bado vita ya kwanza ya dunia na ya pili watu waliokufa
udin utakufanya chiz , waislam wanaua watu hapo jiran msumbiji unaona sw tuWanaukumbi.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, watoto.
BBC inakataa kuwaita watoto wa Kipalestina, mateka.
Inavyoonekana, ni wakoloni wakatili wa Ulaya, pekee walio na watoto, na Waisraeli pekee ndio wanaoweza kutazamwa kama mateka.
Hawa ni "wafungwa" wa Kipalestina wanaobadilishwa na mateka wa Israeli. Wao pia ni watoto. Watoto walichukuliwa majumbani mwao. Watoto ambao wanataka tu kukumbatia mama zao. Hawa ndiyo wavulana ambao vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani hata heshima ya kuitwa watoto hawawezi kusema watoto hizi ndiyo propaganda za magharibi bahati nzuri sasa hivi kuna vyombo vya habari vingi dunia inaona
=========================
The BBC refuses to call Palestinian children, children.
The BBC refuses to call Palestinian children, hostages.
Apparently, only the brutal European colonizers have children, and only Israelis can be viewed as hostages.
These are the Palestinian “prisoners” being exchanged for Israeli hostages. They are also children. Children who were stolen from their homes. Children who just want to hug their mothers. These are the boys who the media won’t even afford the dignity of being called children.
Sawa mkuu fuatilia tu hata alichokisema Antonio Gutierrez juz juz tu utaelewa, yan ugomvi ni mtu aje kwenye utawala wako alafu akufanye wewe mwanamke wake alafu yeye ndio bwana ako anakukaza kinguvu hata kama we wa kiume lazima utabisha tu ndio hapo ambapo ugomvi hauishi, wengi hawaelewi ugomvi ni nini, wanajiropokea tu Hamasi sio vichaa kuna chanzo chake masta.Mkuu minimekuelewa barikiwa sana wengiwetu tuna hadithiwa baada ya hapo tukija hapa jukwaani tunatoa ushuhuda kama tunauhakika.
Who is Gutierreze hata atumike kama rejea ya kila mwenye uvimbe Mdomoni amtumie kama rejea?.Sawa mkuu fuatilia tu hata alichokisema Antonio Gutierrez juz juz tu utaelewa, yan ugomvi ni mtu aje kwenye utawala wako alafu akufanye wewe mwanamke wake alafu yeye ndio bwana ako anakukaza kinguvu hata kama we wa kiume lazima utabisha tu ndio hapo ambapo ugomvi hauishi, wengi hawaelewi ugomvi ni nini, wanajiropokea tu Hamasi sio vichaa kuna chanzo chake masta.
elWho is Gutierreze hata atumike kama rejea ya kila mwenye uvimbe Mdomoni amtumie kama rejea?.
sasa hivi imekuwa Gutierrez kasema hivi na vile.
unasema Shambulio la hamas halikutoka kwenye vacuum sawa. Waisrael wakisema madai yao hayakuanza from no where kuwa hiyo ni ardhi yao mnafula.
hata pale wanapomnukuu mtume Muhammad kuhusu taifa lao mnawapuuza.
bure kabisa
Lugha kama hizo hao Wazungu wamezitumia ku hararisha maovu yao yote waliyoyafanya kwa Indigenous peoples/wazawa popote pale walipofanikiwa kufika...sio hivyo tu, wamekataa kuviita vita hivyo, ni vya baina ya waisraeli na wapalestin!.
Wamepachika ni vita vya israeli na 'gaza'
Gaza ndio kina nani?
it is gut wrenching na
Inasikitisha sana.
Aaaaah. Dont don't don't what?Haiusiani na muhamad mkuu, dont put Religion into this mkuu havihusian ardhi sio yao thats it na wanawatawala wenzao huo ni uonezi mbona hujaongelea hilo? Yan mnachanganywa sana na dini za wazungu weka dini pembeni leta hoja mkuu, mimi sio muislamu ila hata bible inanishangazaga na ndio inawachanganya ninyi, the whole book is about jesus and the dude has never written even a single chapter in that book…Usiweke dini hapa masta
el
Weka propaganda za Zionists pembeni halafu tujadili FactsWho is Gutierreze hata atumike kama rejea ya kila mwenye uvimbe Mdomoni amtumie kama rejea?.
sasa hivi imekuwa Gutierrez kasema hivi na vile.
unasema Shambulio la hamas halikutoka kwenye vacuum sawa. Waisrael wakisema madai yao hayakuanza from no where kuwa hiyo ni ardhi yao mnafula.
hata pale wanapomnukuu mtume Muhammad kuhusu taifa lao mnawapuuza.
bure kabisa
Hao wanaua mpaka raia wao wenyewe sembuse wapalestinaKumbe hata israel huwa "inakidnap" watoto wa kipalestina?
Sasa inalialia nini kuhusu october 7?