Katibu mkuu wa baraza la umoja wa mataifa, alisema hiv haya ambayo wameyafanya Hamas pamoja na ubaya wao kuua raia na nini, sio mambo ambayo yamejitokeza tu yana historia yake, baloz wa israel umoja wa mataifa kamwambia ajiuzuru, akamtukana sana.
Kinachotokea gaza leo kina historia yake na historia yake ina zaid ya miaka sabin, inaanzia 1948, taifa la israel lilipo anzishwa kwenye ardi za waarabu, taifa la Israel limeanzishwa kwenye ardhi za Wapalestina, kwa kuwafukuza Wapalestina kwenye maeneo yao na kuwafanya wakimbizi, Misri, Lebanon, Lebanon, Jordan ambao hawakukimbia. Ambao hawakukimbia wamepelekwa Gaza na wamepelekwa ukingo wa magharibi wa mto jordan, kwa ambao hawajui Gaza ni gereza au wanasemaga ni consetration camp, kama zile za wayahud wakat wa hitler, kila kitu kinadhibitiwa na Israel, chakula, maji hayaingii bila Israel kuruhusu, na wamechukua maeneo yote ya West Bank huko sasa barabara ni kuna road block za wanajesh wa Israel hasa jaman huo si ni uonev, haya wanayofanya ISRAEL yangefanywa UKRAINE, wazungu wangeita GENOCIDE.
Majitu yanakuja hapa yanaropoka ropoka tu hawasomi historia akisimuliwa na babu yake kwamba Israeli ni taifa teule anakuja nae kusema eti teule, teule ya mavi ? Wayahudi waache uonevu , ndio hawa tunafuata dini ya mtu wao aisee me nimeanza kushtuka hizi dini hizi aisee, juz kati Papa, kaonekana na The Rothschild family anawasalimia kwa heshima zote kwa kuinama chini, usifanye mchezo na pesa masta, na hawa ni non believers yan antisemitics maana hawa jamaa ni mayahudi tena masonic walokomaa sana and they are very wealthy. Kuna kitu wazungu hawasemi kuhusu hizi dini hizi..