BBC News: Tanzania MP Zitto Kabwe gets death threats over World Bank loan

Tunatoa picha gani kwa dunia ya wastaarabu Kama tunaweza kujadili kumuua mbunge ndani ya bunge na dunia nzima imejua

Sent using kidoleJamii Forums mobile app[/url]

Wanadhani yanaishia Bongeni, hizi ni zama za utandawazi
 
unapoweka link yenye lugha ngeni tafadhari naomba uweke na tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili ili watu wengi tuwe tunaelewa kilichoandikwa vinginevyo tutakuona kama mbaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki chama sasa hivi kila mtu anajiropokea
 
 
Ndugai kamfananisha Zitto na Trump.

Kwa maana hiyo Trump naye anastahili auwawe kwa mjibu wa Bunge la Ndungai.

Bunge letu limeshuka viwango sana miaka hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…