Sharubu za simba hazitengenezi fagio...dah nimekuelewa.Tuliombea kifo Cha CCM tulieni tu saizi wanajitia kitanzi shingoni. Hawa Watajua tu taratibu kuwa sharubu za Simba hazitengenezi fagio[emoji3][emoji3]
Dumelang
Huku bado barua ya moto mabunge ya ccm yameropoka ujinga hasa bulembo sijui yanatutakia nini hayo
Sent from my iPhone using JamiiForums
HAHAHA SAFARI HII MAGAMBA YAMEKULA WA CHUYA.Tunazidi tu kukusanya ushahidi
Jr[emoji769]
Hasa jambo la kumuuwa mmoja wa Mbunge linapoletwa Bungeni na Mbunge, this is very serious matter..Hawa vingozi kwa hivi vitisho ndiyo wanazidi kuchafua hali ya hewa huko nje.Kwa wenzetu kutishia kuua ni jambo 'siriazi' mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunatoa picha gani kwa dunia ya wastaarabu Kama tunaweza kujadili kumuua mbunge ndani ya bunge na dunia nzima imejua
Sent using kidoleJamii Forums mobile app[/url]
Tena utawanguza wao, kale kabinti kake si na kenyewe kabunge tutaanza nako pambafu
Ha haa! ww utachapwa viboko
Halafu yanatamkwa bungeni na wabunge!Maneno ya kutisha kuuwa watu hadharani ndiyo yanatuharibia nchi yetu ionekane inakiuka haki za binadamu.
Zitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhma/azma yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
Mkuu daah umetisha.Labda wanahisi Mamlaka yao yanaweza kuitawala Dunia maanake haiwezekani mpo Bungeni mnajadili kuua Raia wenye Mawazo mmbadala na kuacha kujadili ya Msingi.Mabeberu tunawaomba mtusaidie kuuondoa huu Utawala wa Mkoloni mweusi Sababu zipo na wame zidhihirisha wazi wazi ndani ya Bunge la Jamhuri.
Umeanza twisting tena; swali ni kua Wabunge wa ccm hawakusema kua Mh Zito auwawe? na Mh Spika hakusema kua Zito katenda kama Mh Trump kama alivyoshirikiana na nchi za nje kukiujumu Marekani?Zitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhama yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
Rubbish.Zitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhama yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
Sijui wewe unaota, mbona uko offtopic sana mkuuZitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhama yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
Si kweli mkuu, labda haumfahamu ZZK vizuriZitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhama yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!