BBC News: Tanzania MP Zitto Kabwe gets death threats over World Bank loan

zitto tupo pamoja harakati zako ni haki, na kizalendo kwa watanzania
 
Kuna yule anasema kabisa ..kule Msaliti anauwawa.

Tena Kweupe na siku hizi kuna Global TV 😀 😀 😀 😀

Ila sawa bado tupo enzi za Zamadamu
 
Maskini Tanzania yangu...imefikia hatua tunatishana kukatana shingo?? Kweli Mzee Kigunge ulikuwa sahihi....RIP.
 
Maskini Tanzania yangu...imefikia hatua tunatishana kukatana shingo?? Kweli Mzee Kigunge ulikuwa sahihi....RIP.
 
Zitto ameshauriwa vibaya na Maalim Seif. Na sasa Maalim Seif kafanikiwa adhama yake ya kuichukua ACT mazima. Zitto is no longer a credible politician to run politics and command political agenda in country as he has been used to!
Mtasema mengi.. 😁
 
Duh....sema sisi na ndugu zetu huko vijijini ndio tunawapigia kura waingie huko bungeni

Kama hatutaki mambo kama hayo lazima tushiriki wote kwa moyo mmoja kutoa elimu kwa ndugu zetu wote, bila kusahau kupigania Tume huru kwa moyo mmoja kama taifa
 
Lakini tumefikaje huku jamani mbona bunge letu lilikuwa linaheshimika sana enzi hizo za samwel sitta
 
CCM itapata pigo kuuuuubwa sana pigo moja tu pigo takatifu pigo lililonyooka kabla ya uchaguzi mkuu ujao na ndiyo itakuwa mwisho wa jinamizi hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…