BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

... kuna mgari wake wa deraya saa hizi uko njiani kupelekwa Ujerumani kabla ya kwenda Marekani kufanyiwa uchunguzi wa kina baada ya kutekwa kwenye uwanja wa mapambano; utapekuliwa kila idara; codes zote hata ziwe ngumu namna gani unazofikiria wewe zitakuwa decoded.

Unaaminika kubeba siri zote za jeshi la Russia; ni kati ya mamitambo yaliyokuwa yanawindwa kwa udi na uvumba Putin kauza nchi; Kremlin kazi ipo kuna majenerali watanyongana!
Ule mtambo ulisababisha Ukraine akaumia
 
Hizo strella (MANPADS) haziwezi kutungua hata sukhoi. Zipo highly effective kutungua ndege zinazopita katika low altitude tu. Sema wakitumia kama ATGMs kuwinda vifaru vya urusi yatawasaidia sana
Kwamba wewe mjuaji kuliko
 
Hio sytem ina part 2 na part iliyobaki haina uwezo wowote wa kufanya kazi bila nyingine.......ili hio system iweze kufanya kazi ni lazima part zote 2 ziwepo.....kwa mazingira ilivyoachwa ingekua ni sensitive hivyo wangeilipua tu..................hilo lidude wanalibeba ila bado pia wanajiuliza kwanini mrusi kaiacha hapo yasije yakawa mambo ya nidukue nikudukue.............hao wameipata command post ila part ya electronic warfare haikuwepoView attachment 2165745View attachment 2165746
Hivi unajua ulichoweka ni tofauti na ukichokiandika
 
... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?
Ndiyo Hata Mimi Nimeshangaa. Watu Husema Super Power Wa Mchongo
Yaani Russia Atavuliwa Nguo Mchana Kweupe Kuku Wanaona
 
Back
Top Bottom