BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

... kuna uzi humu wa kuonekana Air Force One ikicharaza anga la Ulaya kwa fujo na hatimaye kutua Poland hapo jana. Taarifa zaidi zinaeleza kwamba soon thereafter anga lote la Ulaya likawekwa under full control na muda mfupi baadaye deployment za kijeshi safu safu zimeonekana zikimiminka kwa fujo Ukraine. Taarifa zaidi zinatonya kwamba hiyo ni baada ya machuma chuma ya kirusi kupigwa full doze nusu kaputi "dawa" ya kisasa kabisa yasijue kinachoendelea.
umeona kiduku akitest mitambo?? au media za magharibi hazija ripoti hili?? yajayo yana sikitisha, mpo tayari?
 
Endeleeni kushangilia upofu wenu, China, N Korea na Iraq wakipeleka misaada yao ya kivita mje mshangilie hapa pia [emoji4]
China hapendi huo upuuzi mkuu yeye sio mjinga Yaani Awekewe vikwazo vya uchumi na Iran nao Wana shida
 
Mkuu unakalia pande zipi hapa nchini? Leo rasmi russia katangaza kushindwa vita na anarud katika majimbo ya Donabas ambako Ukraine pia watamtilia timu ayateme respectively, cremea pia., mrusi atarudi kwao urusi kwa atakaesalimika na Stinger
Kunywa soda moja hapo kwa Mangi shop
 
... kuna mgari wake wa deraya saa hizi uko njiani kupelekwa Ujerumani kabla ya kwenda Marekani kufanyiwa uchunguzi wa kina baada ya kutekwa kwenye uwanja wa mapambano; utapekuliwa kila idara; codes zote hata ziwe ngumu namna gani unazofikiria wewe zitakuwa decoded.

Unaaminika kubeba siri zote za jeshi la Russia; ni kati ya mamitambo yaliyokuwa yanawindwa kwa udi na uvumba Putin kauza nchi; Kremlin kazi ipo kuna majenerali watanyongana!
Mkuu uko perfect asilimia mia Moja
 
Nini hatma ya huu "mgogoro"?
Hii ni habari njema au mbaya kwetu (mataifa yote kiujumla)?
Je, Putin atasitisha "operesheni" yake ya kijeshi baada ya hili (kumsaidia silaha Ukraine)? Kipi ni rahisi na muhimu kufanya katika "mgogoro" huu? Kuisaidia "kijeshi" Ukraine au "kumshawishi" rais wa Ukraine akubaliane na masharti ya Urusi?
Hivi wewe unafahamu masharti walioweka Warussia lakini au unaongea tu.
 
Ulisoma class moja na mwendazake nini? chakura ni nini hasa, lete hoja wenzako ndio wanaenda kuumizwa zaidi apo, hiyo mizinga 1500 lazima itue kwenye migongo ya warusi
hahahaaa migongo ya warus
 
Nini hatma ya huu "mgogoro"?
Hii ni habari njema au mbaya kwetu (mataifa yote kiujumla)?
Je, Putin atasitisha "operesheni" yake ya kijeshi baada ya hili (kumsaidia silaha Ukraine)? Kipi ni rahisi na muhimu kufanya katika "mgogoro" huu? Kuisaidia "kijeshi" Ukraine au "kumshawishi" rais wa Ukraine akubaliane na masharti ya Urusi?
kumshauri auze nchi ? na nyinyi ndo mnajiita taifa la kesho , stpd kbs
 
Chakura=Chakula,
Waelekeze na wenzako wote huko Musoma.
Thnx!
Sio Musoma tu hata Magufuli nilikuwa nikisikia kwenye r anaweka l na kwenye l pia alikuwa akiweka r.

Hata kule Bukoba pia chunguza kwa makini na wenyewe wana hilo tatizo, halafu tunasema eti Tanzania tunafahamu kiswahili..!!
 
Wale Wachenchen nao itakuwa wameamua kunyoa zile ndevu baada ya kukutana na moto wa aina yake.
 
End that madness now!
Enough is the suffering of innocent civilians!
 
Shehena ya makombora 1,500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani, Shirika la Habari la Ujerumani limewanukuu maafisa wa serikali ya Ukraine wakisema.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock alisema Jumatano kwamba vifaa zaidi vya makombora ya Strela vilikuwa vinakwenda Ukraine kufuatia kucheleweshwa kwa uwasilishaji.

Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umeifanya Ujerumani kubatilisha sera yake ya kihistoria ya kutopeleka silaha katika maeneo yenye mizozo.

"Sisi ni mmoja wa wasambazaji wakubwa wa silaha katika hali hii, haitufanyi tujivunie lakini ni kile tunachopaswa kufanya ili kuisaidia Ukraine," Reuters ilimnukuu Bi Baerbock akisema.

Makombora ya Strela yalikuwa katika orodha ya jeshi la zamani la Kikomunisti la Ujerumani Mashariki.

View attachment 2165001

View attachment 2165005
Na wakati huo huo anaomba po
 
China keshapeleka msaada wa kifedha Ukraine. China na Ukraine ni marafiki mno.
Humanitarian aid to Ukraine, may be behind the scene there are more aids from China to Russia, including the military aids,,, China hawezi kubali Russia akadondoshwa kwa urahisi kwani ikitokea hivo basi usalama wa China utakuwa mdogo sana.
Ili China indelee kuwa salama inabidi Urusi ashinde Vita hii.
 
Back
Top Bottom