ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Wacha tutest silaha zetu pale , ule ni uwanja wa majaribio hadi Dumb bomb tunapigaUkraine wameamua kuigeuza nchi yao kuwa Syria ya ulaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha tutest silaha zetu pale , ule ni uwanja wa majaribio hadi Dumb bomb tunapigaUkraine wameamua kuigeuza nchi yao kuwa Syria ya ulaya
Kwani hizo silaha nyingine zilifikaje huko?!!zote zinaingilia kupitia mpaka wa poland na ukraine!!... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?
Umewasikia wapi wakiomba chakula, Ukraine ni moja ya mataifa kumi yenye akiba kubwa ya chakula duniani, ndio nchi ya tatu kwa uzalishaji wa mafuta ya kupikia duniani. Mzozo huu tu hadi bei ya mafuta ya kupikia imepanda duniani kote.Ukrein wanaitaji chakura na madawa ila nato wanawapelekea makombora [emoji16]
Mambo yanazidi kunogaShehena ya makombora 1,500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani, Shirika la Habari la Ujerumani limewanukuu maafisa wa serikali ya Ukraine wakisema.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock alisema Jumatano kwamba vifaa zaidi vya makombora ya Strela vilikuwa vinakwenda Ukraine kufuatia kucheleweshwa kwa uwasilishaji.
Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umeifanya Ujerumani kubatilisha sera yake ya kihistoria ya kutopeleka silaha katika maeneo yenye mizozo.
"Sisi ni mmoja wa wasambazaji wakubwa wa silaha katika hali hii, haitufanyi tujivunie lakini ni kile tunachopaswa kufanya ili kuisaidia Ukraine," Reuters ilimnukuu Bi Baerbock akisema.
Makombora ya Strela yalikuwa katika orodha ya jeshi la zamani la Kikomunisti la Ujerumani Mashariki.
View attachment 2165001
View attachment 2165005
Umewasikia wapi wakiomba chakula, Ukraine ni moja ya mataifa kumi yenye akiba kubwa ya chakula duniani, ndio nchi ya tatu kwa uzalishaji wa mafuta ya kupikia duniani. Mzozo huu tu hadi bei ya mafuta ya kupikia imepanda duniani kote.
Sio habari njema kwa hii vita. Na ninaona kama Ukraini anazidi kuchongewa, Urusi itaamua kubadilsha Chapter na kutumia Chapter mbaya zaidi dhidi ya Ukraine. NATO wanachokifanya ni sawa na Kumlipa mdeni wako katika tukio la Ujambazi, yaani Mmevamiwa na majambazi ndio hapohapo unamlipa Deni mdeni wako sasa hapo ni kumtakia meme kweli mdeni wako?Shehena ya makombora 1,500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani, Shirika la Habari la Ujerumani limewanukuu maafisa wa serikali ya Ukraine wakisema.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock alisema Jumatano kwamba vifaa zaidi vya makombora ya Strela vilikuwa vinakwenda Ukraine kufuatia kucheleweshwa kwa uwasilishaji.
Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umeifanya Ujerumani kubatilisha sera yake ya kihistoria ya kutopeleka silaha katika maeneo yenye mizozo.
"Sisi ni mmoja wa wasambazaji wakubwa wa silaha katika hali hii, haitufanyi tujivunie lakini ni kile tunachopaswa kufanya ili kuisaidia Ukraine," Reuters ilimnukuu Bi Baerbock akisema.
Makombora ya Strela yalikuwa katika orodha ya jeshi la zamani la Kikomunisti la Ujerumani Mashariki.
View attachment 2165001
View attachment 2165005
Kwanini mrusi hashushi mabomu ya kutosha hapo mpakani ili kusiwe na uwezekano wa gari kuvukaKwani hizo silaha nyingine zilifikaje huko?!!zote zinaingilia kupitia mpaka wa poland na ukraine!!
Wanaona Ukraine kama CongoUmewasikia wapi wakiomba chakula, Ukraine ni moja ya mataifa kumi yenye akiba kubwa ya chakula duniani, ndio nchi ya tatu kwa uzalishaji wa mafuta ya kupikia duniani. Mzozo huu tu hadi bei ya mafuta ya kupikia imepanda duniani kote.
Masharti ya kipumbavu kama kuiachia Crimea,,asiwe na jeshi wala silaha nk. Hivyo ndo vitu vya kumshauri Ukraine akubaliane navyo!?? Uko serious!Nini hatma ya huu "mgogoro"?
Hii ni habari njema au mbaya kwetu (mataifa yote kiujumla)?
Je, Putin atasitisha "operesheni" yake ya kijeshi baada ya hili (kumsaidia silaha Ukraine)? Kipi ni rahisi na muhimu kufanya katika "mgogoro" huu? Kuisaidia "kijeshi" Ukraine au "kumshawishi" rais wa Ukraine akubaliane na masharti ya Urusi?
Taratibu unaanza kujitenga na Supapawa wa mchongoSafi kabisa wapeleke za kutosha tuone wanavyouwana live bila chenga.waendelee kukaziana ivyoivyo kmamae zao.
Si mlisema mtamsabulia kwake yeyote atakaeisadia Ukraine? Anzeni na Poland kwenye channel ya kupela silaha Ukraine.Kwani anatunguaga misafala yeye analenga tu pale zitakapohifadhiwa hizo silaha uzuri hypersonic haina mpinzani cha muhimu ni kujua tu watu wamehifadhi silah wapi unapiga kombora moja tu watu wanaanza upya tena