BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?
Hili hata mimi limenishangaza sana.
Sijui Urusi wanakwama wapi?
Yaani pamoja na uwezo wote wa kijeshi, sijui walishindwaje kulipua hiyo Cargo ya makombora kabla ya kuwafikia waUkraine?
 
Kwani anatunguaga misafala yeye analenga tu pale zitakapohifadhiwa hizo silaha uzuri hypersonic haina mpinzani cha muhimu ni kujua tu watu wamehifadhi silah wapi unapiga kombora moja tu watu wanaanza upya tena
Una uhakika haina mpinzani? Watu wanahifadhi mashine ghalani kwao mkuu.
 
Ulisoma class moja na mwendazake nini? chakura ni nini hasa, lete hoja wenzako ndio wanaenda kuumizwa zaidi apo, hiyo mizinga 1500 lazima itue kwenye migongo ya warusi
Ulijua Hilo kombora wewe! Unaweza kulibeba ukiwa na njaa?
 
Safi kabisa wapeleke za kutosha tuone wanavyouwana live bila chenga.waendelee kukaziana ivyoivyo kmamae zao.
Washenzi Sana, waafrika wanapigana miaka nenda Rudi hatuoni mayowe kama ya Ukraine halafu na chanzo ni wao.
Wapambane na Hali zao.
 
Kwa jicho la tatu hii vita inapiganwa kuidhoofisha Rusia......atashinda hii vita lakini atarudi nyuma sana kiuchumi.......
Mkuu unakalia pande zipi hapa nchini? Leo rasmi russia katangaza kushindwa vita na anarud katika majimbo ya Donabas ambako Ukraine pia watamtilia timu ayateme respectively, cremea pia., mrusi atarudi kwao urusi kwa atakaesalimika na Stinger
 
Nini hatma ya huu "mgogoro"?
Hii ni habari njema au mbaya kwetu (mataifa yote kiujumla)?
Je, Putin atasitisha "operesheni" yake ya kijeshi baada ya hili (kumsaidia silaha Ukraine)? Kipi ni rahisi na muhimu kufanya katika "mgogoro" huu? Kuisaidia "kijeshi" Ukraine au "kumshawishi" rais wa Ukraine akubaliane na masharti ya Urusi?
Ni Chief Mangungo pekee ndo angeweza kukubali ushauri wa kukubaliana na masharti ya kipumbavu kama yale. Acha masikhara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio habari njema kwa hii vita. Na ninaona kama Ukraini anazidi kuchongewa, Urusi itaamua kubadilsha Chapter na kutumia Chapter mbaya zaidi dhidi ya Ukraine. NATO wanachokifanya ni sawa na Kumlipa mdeni wako katika tukio la Ujambazi, yaani Mmevamiwa na majambazi ndio hapohapo unamlipa Deni mdeni wako sasa hapo ni kumtakia meme kweli mdeni wako?
Hakuna cha chapter mbaya wala nzuri, russia naye muoga tu. Nimegundua nilimu overrate sana mwanzo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa jicho la tatu hii vita inapiganwa kuidhoofisha Rusia......atashinda hii vita lakini atarudi nyuma sana kiuchumi.......
Sahau Hilo unaweza ukajua kwann Ukraine kila wakiomba ulaya na marekani wafunga anga la urusi na Ukraine walimgomea rais wa Ukraine ilimanisha muda ambao Putin kajiwekea kutwaa Ukraine yote hautoshi ili nawao watumie anga Hilo Hilo kummaliza Putin nahiyo itatokea swala lamuda
 
... Urusi amekwama wapi kuuwahi msafara akaulipua kabla ya kuwasili yanakopelekwa? Satelaiti zao hazijauona?
usije jaribu kujisaidia njiani usiku wamanane ukijua huonwi watakutajia na tisheti uliyokua umevaa
 
Back
Top Bottom